Side b of you

Aisee.. Uongo! Hata kwa jambo dogo sana! Utaisoma mbaya sana chalii yangu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mie hata sijielewi, mie saa zote nipo km askar wa mwavuli, hali ya hewa ikibadilka nam nabadilika faster, so no kukwazana
 
side be yangu....

naweza kukaa peke yangu hata wiki nzima
sitaki kuonana na yeyote
 
Siipendi (Tena Sana) Sheria Ya Mwanaume Kumtongoza Mwanamke!!
 
Mimi na uzushi ni maji na mafuta! Nikigundua 2 mzushi au yule ambanye anaendekeza sana benefits of doubts fasta nampiga chin!
 
hapana nataka tuwe direct sio twapelekeshana kama vile she doing me a favour bwana.
nimeelewa sasa kwamba mfomo wa kujaliana na kuheshimu hisia uwe na mizani bila ya mzani kugemea upande kama sijakosea.
 
Naogopa sana kufumaniwa kwani hali hii huweza kupelekea kujiona kuwa u mdanganyifu kwa mpenzi wako.

Hahahah Madame B hujatulia..kwaiyo we unapenda kudo ze nidful outside ila usifumaniwe...!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni kama CD...one side only! What you see is what you get...
 
Naogopa sana kufumaniwa kwani hali hii huweza kupelekea kujiona kuwa u mdanganyifu kwa mpenzi wako.

ahaaaa!
So u mean huwa unajificha sana usije ukakutwa na bwana pepsi!
(its a joke madam wangu)
 

Aisee sipendi kudanganywa,na nabadilika sana hasa ninapogundua hilo,
 
Side B yangu nikumchukia yeyote asiyenipa uhuru wa mimi kuwa mimi
 

tupo pamoja mkuu mm m2 akinidanganya naona kama nanidharau so once nikagundua kama kanidanganya 2taonana wabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…