Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.
Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.
Haha.dah..maisha haya.. Mim inaenda week ya 3 hii nmempa break mtu ingawaa nammiss..najua yeye huko anakufa..maana huwa anakonda kabisa tukigombana..ila nmeamua kukaza this time had akil imkae sawa...tho nammiss kinoma
 
Naamini anaheshimu familia yako mkuu.
Kama unayo
 
Dalili mbaya kwako....

Soon kuna dalili za kumpoteza mke wako.....

Naomba ni quote "Niko teyari kulea watoto wako"

Hatari hii sijui umeiona?
 
Nachoshukuru huwa naweza kumfanya mwanamke ajue nimeoa
Cha pili namwambia ukweli ukipata mtu nishirikishe ili tumchunguze pamoja ili uweze kuwa nae

Cha tatu huwa nampa masharti ya kujali kazi hii itamfanya kuwa bize asinisumbue na nampigia simu asubuhi ya kumkumbusha kazini na nampa masharti asipoenda kazini siku moja basi sionani nae wiki nzima

Hapa namtengenezea akili ya kutonisumbua
 
Kuna pisi kali huwezi kuzipa masharti hayo mkuu.. Labda uwe unahonga sanaaa
 
Dalili mbaya kwako....

Soon kuna dalili za kumpoteza mke wako.....

Naomba ni quote "Niko teyari kulea watoto wako"

Hatari hii sijui umeiona?
Na ndio balaalenyewe hilo.
Ndio maana kuna wakati alikuwa anavaa aina ya mavazi anayovaa wife.

Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…