Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
Sasa hapa ndio kuna nafasi ya kuuliza maswali yangu yaliyokuwa yakinisumbua kwa muda mrefu.
Je,ni utaratibu gani unaotumika kwa kituo cha tv cha hapa nyumbani kuonesha live matangazo ya kituo kingine cha nje,kwa mfano utakuta ITV wanajiunga na BBC World, au Channel 10 wanapojiunga na SKY News, au CAPITAL TV wanapojiunga na CNN?
Pili,mimi mara kadhaa natumia internet kutazama channels mbalimbali za kimataifa bure,je wao wananufaika vipi wakati mimi natumia internet kwa bundle ya hapa nyumbani?Kwa maana kwamba hata hawanijui huku niliko.
Tatu,kwa nini hawa wanaorusha matangazo kama vile ZUKU na Star Times wasitumie internet kupata channels zile tunazopata thru internet? Maana kwa mfano Live Football,Basketball nk.tunazipata kirahisi kabisa kwenye net.Wangeweza kufanya hivyo DSTV ingekuwa na mshindani mwenye nguvu,na pengine wangeweza kushusha bei zao.
Mi yangu ni hayo tu ndugu!
1)kuhusu channel kwa mfano ITV kutangaza mpira au harusi ya price william live,ni kwamba kila kituo cha Tv kilicho jipanga huwa na receiver nyingi kwa ajili ya kupokea signal kutokea kwa TV mbalimbali za nchi za nje.mfano ITV nao wanakingamuzi kama cha wewe nyumbani unachopatia aljazera na BBC,pia wanalipia DSTV kila mwezi ili kupata signal zao au wanaweza ingia mkataba na BBC kwa ajili ya kuungana nao. wakati wa kuonesha mpira au kujiunga kwa ajili ya habari wao hubadilisha tu input signal,baada ya kutoa signal kwenye cameraza pale studio,sasa watatoa kutokea kwenye cable inayoleta signal husika(ie mpira,au habari) hii ni moja ya sababu inayofanya signal ziwe na delay kwa maana inabidi kwanza wao wazipokee na kisha wazitume. hii ni sahihi pia kuhusiana na redio mfano VOA,BBCswahili nk nao radiofree africa mfano hupata signal kutoka kwao direct kisha wao humodulate katika frequency yao na kisha zibroadcast.
2) kuhusiana na wewe kuangalia chanel mbalimbali kwenye internet, hii imekaa kibiashara zaidi. pale mtu mfano vodacom wanapotaka kutangaza huwa wanaulizia coverage na idadi ya wapokea matangazo.. kwa hiyo wote tunaoona kwa satellite, kwa antenna za kawaida na kwa internet tunajumlishwa n kupata idadi ya watazamaji na hivyo kumvutia mtu kutangaza nao kwa kuwa anauwakika wa kuwafikia watu wengi zaidi sehemu mbalimbali. hili suala limekaa kibiashara zaidi na lina faida sana kwao kwani huongeza watazamaji hivyo kuongeza idadi ya watu watakao kutangaza nao......
3)hapa kidogo sitakuwa na jibu sahihi ila nafikiria suala na gharama na mfumo unachangia hili lisiwezekane.fikiria gharama za kuretrev data kutoka net kila siku na kwa memory kubwa kisha uzibroadcast..hiii itakuwa ghari sana ukilinganisha na yule ambaye kanunua dish na decoder kwa maramoja na hana gharama za mara kwa mara
aksante kaka kwa changamoto,natarajia hoja na changamoto zaidi kutoka kwenu wanatech
..........
Zuku tv,Easy TV na DSTV hawa wanatangaza kwa kutumia mfumo ujulikanao kama DVB-S. Satellite huwa ndo njia yao ya transmission,hivyo huweza patikana popote Tanzania na ndo maana wao hujihusisha na kuuza dish za KU band kwa wateja wao na sio antenna za chadema na V.
................
natarajia maswali zaidi na yote yanakaribishwa
Kwa hiyo sisi wa mikoani tunaotumia madishi( siyo zuku wala DSTV) tayari tumeshadumbkia kwenye digital system.
Kwa hiyo sisi wa mikoani tunaotumia madishi( siyo zuku wala DSTV) tayari tumeshadumbkia kwenye digital system.
The Boss
1. Sibuka inaweza kuonekana popote kutegemea na Multiplexer Operator wake ana coverage gani. Basically operator waliopo i.e Startimes, ATN. Zuku na DSTV wote wanatumia Satellites ambazo zina coverage Tanzania nzima. That means kama user au mteja akitumia VSAT Antenna au Satellite Antenna popote Tanzania anaweza kupata signals. However kama Operator hajaweka Uplink Facilities kwa ajili ya Terrestrial Transmission then huwezi kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo. Sasa hili linategemea operator na operator. Unahitaji kuinvest katika Towers na Transmitters katika maeneo mengi ili wateja wako waweze kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo.
2. Officially by TCRA Multiplexer Operators ni watatu. lakini Technologically nadhani ni zaidi including ZUKU, DSTV na EASY TV.
3. Akitaka ionekane Nchi zima anakuwa na mkataba na Operator mwenye Signal Transmitter inayofika nchi nzima. Refer 1.
4. Gharama zinategemea nini unataka na kwa ubora gani. A budget ya kati ya $ 200K to $ 1000K inatosha kwa vifaa vya Studio ya TV.
5. Roughly vifaa:
[TABLE="width: 808"]
[TR]
[TD]Item[/TD]
[TD]Description[/TD]
[TD]Qty[/TD]
[TD]Unit Price[/TD]
[TD]Total Price[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Control Room and Other Studio Equipments[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Panasonic AG-DVX100AE 3CCD DV Camcorrder[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 10,147.00 [/TD]
[TD] 20,294.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]TRIPOD:-Manfrotto 50 525 PKITTripot System Complete[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 1,570.00 [/TD]
[TD] 3,140.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Light: photon Beard High light A8640Cold Light 4 tube[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 3,378.00 [/TD]
[TD] 3,378.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]photon Beard High Light A8620 Cold lights 4 Tube[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,117.00 [/TD]
[TD] 2,117.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Sennheiser EQ-112 Radio Lapel Mic Kit,[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 1,719.00 [/TD]
[TD] 1,719.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Sennheiser ME66 Short Rifle Mic[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 480.00 [/TD]
[TD] 480.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Sennheiser K6 Power Module for ME 66[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 458.00 [/TD]
[TD] 458.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Sennheiser MD825 Dynamic handled mic[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 193.00 [/TD]
[TD] 193.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]MXER๐anasonicAg-70AV Mixer[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 14,997.00 [/TD]
[TD] 14,997.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]AUDIO MIXER :-Beringer UB2222FX PRO 6+4I/P Audio mixer[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 1,202.00 [/TD]
[TD] 1,202.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD]COMMS SYSTEM[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,160.00 [/TD]
[TD] 2,160.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]TV MONITORS[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD] 1,502.00 [/TD]
[TD] 6,008.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]SOUND MONITOR SYSTEM-JBL[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,222.00 [/TD]
[TD] 2,222.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD]MONITORING-Electronic Visual Components Waveform[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 14,410.00 [/TD]
[TD] 14,410.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD]VCR-Panasonic RECORDER AND PLAYER[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 5,742.00 [/TD]
[TD] 11,484.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Non linear editing suit[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 3,002.00 [/TD]
[TD] 3,002.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD]Custom Studio Furniture[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 18,012.00 [/TD]
[TD] 18,012.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD]Materials and Labour for Studion Installation[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 30,020.00 [/TD]
[TD] 30,020.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]TV Transmitting Equipment[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]FM Transmitter 1500 Watts UHF TV Transmitter[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 62,005.00 [/TD]
[TD] 62,005.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20[/TD]
[TD]UHF TV Antenna, 4 UHF TV Panels + Spliter and Cables[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 6,217.00 [/TD]
[TD] 6,217.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]21[/TD]
[TD]Site Survey, Installation, Commissioning of Transmitter and Documentation[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 20,264.00 [/TD]
[TD] 20,264.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Grand Total including Flight and Insurance in USD:[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD] 223,782.00 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
kuhusiana na mambo ya digital transmission hasa kwa Startimes,ATN na hao ITV tunatofautiana kidogo. Hawa wote wamepewa leseni ya kurusha matangazo terrestrially kupitia mfumo ujulikanao kama DVB-T. Hivyo signal za Startimes ATN na ITV kwa mfano haziendi kwenye satellite hata kidogo ndo maana startimes hawajihusishi na uuzaji wa madishi bali huuza yagiuda antenna( samaki) kwa kuwa wao ni terrestrial broadcaster. Hujiulizi kwa nini watu wa Rukwa hawana signal za Startimes wakati wanaweza kuzipata kwenye satellite? Dishi lile pale TBC ni kwa ajili ya downlink ya signals kutokea popote duniani,(kwa maana ya TV za nje mfano MTV,BET etc) kisha huchanganya na TV za ndani na kufikisha idadi ya channel za startimes mfano ambazo sasa zipo zaidi ya 50.
Zuku tv,Easy TV na DSTV hawa wanatangaza kwa kutumia mfumo ujulikanao kama DVB-S. Satellite huwa ndo njia yao ya transmission,hivyo huweza patikana popote Tanzania na ndo maana wao hujihusisha na kuuza dish za KU band kwa wateja wao na sio antenna za chadema na V.
kelele zote za TCRA kuhusu kuhamia digital inahusu sana terrestrial transmission, ndio maana mabadiliko haya yanawahusu watu wale wenye antenna za chadema na v na sio wenye madishi kwani wao tayari wapo digital.
kwa sasa ITV,EATV,TBC, StarTV,Channel Ten wote wanamfumo wa kidigital tayari( hapa nazungumzia DVB-Satellite),na wanamfumo wa analogia ambao (terrestrial) ambao ndio TCRA wanaomba ubadilishe kwa minajili ya kuongeza upatikanaji wa frequency kwa ajili ya matumizi mengine.
Sibuka TV wao wana mfumo wa kianalogia pekee( wanatransmit terrestrial kwenda kwa antenna na chadema na V analogically) wanapitisha signal zao Startimes kuweza zifanya digatal na kutufikia sisi, wao wakitaka wawe free to air nchi nzima basi inawalazimu kwanza kutransmit kupitia satellite(DVB-S) na pili iliwabidi wafunge transmitter karibu kila mkoa kwa case ya terrestrial( ambapo ni mfumo wa kianalogia) lakini kwa sasa hawatahitaji kufanya hivyo kwa kuwa Startimes wamepewa kazi hiyo.
natarajia maswali zaidi na yote yanakaribishwa
si kila tv inayopatikana kwa dish ni digital.tembelea lyngsat.com utaelewa nachomaanisha.
..sawa mkuu ila hii dah...kizamani fulani hivi..?...chek mzigo huu.TriCaster 40The Boss