Mbunge wa East Afrika ambaye hakai huku ila anawekeza tu? anatuwakilishaje kwenye vikao? au anapata habari za Tanzania kwenye mtandao, ndio info anatumia kujadili huko kwenye uwakilishi wake EAC?
LAkini kurudi kwenye point, nasikia Radio ni nzuri sana, na TV pia.