SIBUKA TV ni ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIBUKA TV ni ya nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LE GAGNANT, Apr 13, 2011.

 1. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Imeibuka hii tv, naipata chnl 6 ya star times. Naomba ajuaye ni ya nani anijuvye.
   
 2. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,299
  Trophy Points: 280
  Mbona ipo siku nyingi sasa, walianza na radio ambayo inasikika zaidi kanda ya ziwa, na iliwahi kutuhumiwa kutangaza kwa lugha ya inayoongewa na wakazi wengi wa eneo hilo na hasa Shinyanga. Japo jina la mmiliki limenitoka kidogo, jamaa ni mbunge wa bunge la afrika mashariki
   
 3. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hata mie naionaga onaga tuu sielewi ni ya wapi, i thot ni ya kenya, ila vipindi vyake bado haviko poa
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,438
  Trophy Points: 280
  chadema inunueni
   
 5. msaginya

  msaginya Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Basi balaa tv kila kukicha tunaomba wasambae kama kweli wamezamilia
   
 6. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kama sikosei anaitwa George Francis Nangale, Mtu CCM.
  Kipindi cha nyuma walikuwa na baishara ya cotton ginning pale Uzogore-Shinyanga.
  Ni Mbunge wa East Africa Legislative Assembly.
  Anaendesha Tv/Radio - yuko ubia na mtu mwingine kama sikosei.

  Huwa anaweka Dr. kabla ya majina yake ingawa sijui ni Dr. ipi, wa mifugo/nondoz/kama ya JK.
  Kamata link hiyo hapo kwa additional info

  Dr. Nangale George Profile
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  jamani mbona na kikwete kum-refer kwenye dr jamani........mwachenbi mkwele wa watu apate vyeo
   
 8. N

  Nali JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Inamilikiwa na G. Nangale
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Tueleze sababu ya kutaka kumjua mmiliki, unataka kutumia jinalake kutambikia ama?, nadhani kwa zama hizi kujua nani anamiliki nini siyo bigdeal unless umetumwa...........................................
   
Loading...