Sibahle Zwane - Mtoto wa miaka 10 genius kwenye Hisabati kutoka Afrika Kusini

Thanks mkuu and fuk you too.
Umeeleza vizuri sana na hongera kwa ujuzi nauelewa wako.
Tukirudi kwa huyu dogo, haudhani anastahili sifa hizo kwa kufanya yote hayo katika umri huo?
Anastahili sifa kulingana na eneo husika analotoka, maana ukute ni yeye tu anaeweza kufanya ivo darasani,
Hiyo michezo mbele watoto wanajifunza kwenye vituo vya kulelea watoto, mtu yoyote anayeweza kufanya mental calculation, lazima afanye expansion because our brain can only process informations in a simplest way. memory yake inakuwa iko vizuri maana kuna mi namba mingi unakuwa unaitunza kichwani halafu badae utazijumlisha Mwenyewe nakubali uwezo wa huyo dogo ila hakipo cha kushangaa.

Napenda mathematics na hua nafuatilia sana, kwenye madogo walioishangaza Dunia huyo akasome.
 
Huyu dogo ni fala tu maana hilo swali alofanya ni jepesi saana.
Mtaalamu wa mental calculation anaitwa " Arthur Benjamin " huyu jamaa nlimvulia kofia kwenye mental calculation ni hatari anazidisha hadi 6 x 6 digit numbers sasa huyo dogo kafanya 2 by 2 ila kwa umri wake labda anashangaza.
Unamkandia dogo kisa mwafrica mwenzako then unamsifia mzungu kwa sababu ya rangi yake si ndyo?

Self hate inakusumbua au una tatizo gani?

Kwanini waafrica hampendi ku appreciate kilicho chenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafanya vitu vya kawaida huyo dogo, sema wewe ndo hua hufatilii na huwajui watoto walioshangaza dunia mbona kuna dogo mkorea alikuwa ana solve complex calculus sio huyo anajua kizidisha tu
Na uhakika hyo dogo angekuwa mzungu usingetoka povu kiasi hiki!

Kwako ishu sio hyo dogo kuwa genius bali kwanini awe genius wakati ni mtu mweusi!

Acha kujibagua mkuu jifunze kujipenda na uache kuwababaikia wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamkandia dogo kisa mwafrica mwenzako then unamsifia mzungu kwa sababu ya rangi yake si ndyo?

Self hate inakusumbua au una tatizo gani?

Kwanini waafrica hampendi ku appreciate kilicho chenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeleta masuala ya rangi tena, hakika hata ikatokea kukawa na black pope atalushiwa ndizi.
Na uhakika hyo dogo angekuwa mzungu usingetoka povu kiasi hiki!

Kwako ishu sio hyo dogo kuwa genius bali kwanini awe genius wakati ni mtu mweusi!

Acha kujibagua mkuu jifunze kujipenda na uache kuwababaikia wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wewe tu ndo umekuja na chuki zako huangalii uwezo unatanguliza rangi!
Mimi siwezi kuwachukia wazungu.

Mandela
“No one is born hating another person because of the colour of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.”
 
Umeleta masuala ya rangi tena, hakika hata ikatokea kukawa na black pope atalushiwa ndizi.

Ni wewe tu ndo umekuja na chuki zako huangalii uwezo unatanguliza rangi!
Mimi siwezi kuwachukia wazungu.

Mandela
“No one is born hating another person because of the colour of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.”
Hyo mtoto angekuwa mzungu ungeandika uliyoandika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When you come to mental calculations, Operation with numbers, multiplication is the best.
1 by 1 kila mtu anajua(amekalili) màana inahusisha 0-9

Tofauti na 1 by 1 kwenye kuzidisha kwa kutumia mental calcator lazima ujumlishe,
Sasa hapa kuna njia kibao za kujumlisha na kuzidisha ambazo hazifundishwi shuleni (zilikuwa zinatumika kabla ya calcutator kugunduliwa)

Mfano kujumlisha kwa kutumia compliments na kizidisha kwa kutumia jakow Trachtenbergs.

Mtu akifanya kitu ambacho hujui sio kwamba ndio genius hata wewe unaweza ukijifunza, Huyo dogo hajatumia Trachtenberg ndo maana nikasema hilo swali ni rahisi.
78000 x 550 hii ni 2 by 2 (achana na izo sifuri) halafu table ya 5 rahisi kuliko zote.

Hilo swali kafanya sio kwamba kataja tu jibu ila kafanyia kichwani ivi...
78000 x 550
78000 x (500 + 50)
(78000 x 500) + (78000 x 50)
(78000 x1000/2) + (78000 x 100/2)

(78000/2 x 1000) + (78000/2 x100)
Hapa ndo ilitakiwa nianzie ila msingeelewa maana nafanyia kichwani
39000000 + 3900000
42900000
Hizo sifuri ni za kubandika tu zisikuchanganye swali lilikua ka kugawa kwa mbili bandika sifuri na kujumlisha.

Mi ni mwalimu shuleni nafundisha chemistry, nikisolve swali ubaoni nawaachia wanafunzi wazidishe wanangaika lakini mimi nabandika tu jibu, wakawa wanashangaa mimi naizidishaje 3 by 3 digit nambers kichwani! WANANIITA GENIUS LAKINI NIKAWAAMBIA MIMI SIO GENIUS SEMA NAZIDISHA KWA NJIA AMBAYO HAMUIJUI HAIFUNDISHWI SHULENI
mathematics ndo naipenda nafundisha pia ila sitaki kuifundisha maana sipendi kusahihisha wanafunzi ni wengi,
Kilichonishinda ni 5 by 5 na 6 by 6 lakini kuna MATH MAGICIAN
professor of mathematics yeye ANAWEZA anaitwa Arthur Benjamin huyu jamaa ni hatari maana mental calculator yake f(x)>991

Dedication
Kuna movie moja Angalieni inaitwa 'Gifted' inahusu mathematics kuna mwalimu alimuona mwanafunzi wake gifted akamwambia anko wake, Anko akajibu huyo dogo ni fala sema anajua tu Trachtenberg wewe hujui, mwenyewe(anko) nilivokua na miaka nane nlikua najua Trachtenberg lakini sikuwa genius.

Nmechoka kutype.. fuk yall
Mwalimu uko sawa isipokuwa kwenye hilo tusi.
 
Back
Top Bottom