micaely michael
Member
- Jul 31, 2015
- 85
- 9
tuisha ifanya siasa kama wimbo wa taifa si mashulen,mitaan,makazin,kila siasa huzungumzwa na wengi kusahau kwamba tunawakati mgumu wa kupitia changamoto zitakazo tukabili pindi uchaguz utakapo anza ,cha kufanya n kumuomba mwenyezi uchaguz upite salama nas tukubaliane na matokeo....yatakayo jtokeza.