Siasa za upinzani za kuvizia kauli za chama kinachoongoza serikali hazina tija.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
35,040
41,722
Sitaki kuamini kuwa ni kwa Tanzania pekee katika Afrika na dunia ndipo unakutana na upinzani usio na fikra pana wala uwezo wa kuibua hoja.

Kauli za wanasiasa wa upinzani zote zimekua zikija baada ya zile za wanaoongoza Serikali .

Inahuzunisha Mno kuwa na fikra kwamba vyama vya upinzani ni replica ya kasuku.

wanarudia kile kile tulichowahi kusikia.

Hii sio afya.
 
Mkuu ongeza nyama kidogo ili watu wajue wanajadili nini.
 
Mwingine wa upinzani huyu msikilize kwa makini.Sitaki kuamini kuwa ni kwa Tanzania pekee katika Afrika na dunia ndipo unakutana na upinzani usio na fikra pana wala uwezo wa kuibua hoja.

Kauli za wanasiasa wa upinzani zote zimekua zikija baada ya zile za wanaoongoza Serikali .

Inahuzunisha Mno kuwa na fikra kwamba vyama vya upinzani ni replica ya kasuku.

wanarudia kile kile tulichowahi kusikia.

Hii sio afya.
 
Sitaki kuamini kuwa ni kwa Tanzania pekee katika Afrika na dunia ndipo unakutana na upinzani usio na fikra pana wala uwezo wa kuibua hoja.

Kauli za wanasiasa wa upinzani zote zimekua zikija baada ya zile za wanaoongoza Serikali .

Inahuzunisha Mno kuwa na fikra kwamba vyama vya upinzani ni replica ya kasuku.

wanarudia kile kile tulichowahi kusikia.

Hii sio afya.
Hivi ukishakuwa CCM lazima uwe MPUMBAVU fulani hivi eehh..!!
So sad.
 
yaani mnataka palamagamba akiongea upupu basi tukae kimya?

Ukirusha kombola lazima ligeuzwe likurudie.
Mbugila nyie.

Awamu hii hakuna upotoshaji, unajibiwa wote.
 
Ni zaidi ya miaka kadhaa sasa hatujawahi sikia hoja yeyote ya upinzani ukiachana na marudio ya kauli za wenye serikali. .. watanzania wamelaghaiwa..upinzani umejaa malaghai. ..
 
Sitaki kuamini kuwa ni kwa Tanzania pekee katika Afrika na dunia ndipo unakutana na upinzani usio na fikra pana wala uwezo wa kuibua hoja.

Kauli za wanasiasa wa upinzani zote zimekua zikija baada ya zile za wanaoongoza Serikali .

Inahuzunisha Mno kuwa na fikra kwamba vyama vya upinzani ni replica ya kasuku.

wanarudia kile kile tulichowahi kusikia.

Hii sio afya.

Pole sana kwa tabu unayopata. Kwa kweli wewe unaonyesha kusumbuliwa sana na jinsi wapinzani wanavyofaidika na makosa hayo. Lakini hii ndiyo kazi ya wapinzani; kutumia kila nafasi inayotokea kuonyesha kuwa walioko madarakani hawana uwezo, wanapwaya au siyo watu makini. Siyo sawa kuwalaumu wanaofanya hivyo. Badala yake walaumiwe hao wasioweza kupima kauli zao. Na siyo kauli tu bali matendo pia. Hivi Spika, Jaji Mkuu anapoitwa kwenye ghafla zote za kiserikali na kutoa hotuba ni jambo lenye afya kweli? Lakini hata raia ambao hawana vyama nao wanashangazwa na hizo kauli. Wanachoona wananchì ni mlevi wa madaraka tu kwani wakati wa naomba kura viongozi hao hao waliokuwa wanyenyekevu sana.
 
Sitaki kuamini kuwa ni kwa Tanzania pekee katika Afrika na dunia ndipo unakutana na upinzani usio na fikra pana wala uwezo wa kuibua hoja.

Kauli za wanasiasa wa upinzani zote zimekua zikija baada ya zile za wanaoongoza Serikali .

Inahuzunisha Mno kuwa na fikra kwamba vyama vya upinzani ni replica ya kasuku.

wanarudia kile kile tulichowahi kusikia.

Hii sio afya.
Swadakta!,hili nalo litapita,wakati wanajadili kauli ya Rais, zaidi ya wiki nzima au zaidi,yeye anachanja mbuga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kuamini kuwa ni kwa Tanzania pekee katika Afrika na dunia ndipo unakutana na upinzani usio na fikra pana wala uwezo wa kuibua hoja.

Kauli za wanasiasa wa upinzani zote zimekua zikija baada ya zile za wanaoongoza Serikali .

Inahuzunisha Mno kuwa na fikra kwamba vyama vya upinzani ni replica ya kasuku.

wanarudia kile kile tulichowahi kusikia.

Hii sio afya.
Rafiki yangu kaa kimnya kama hujui siasa duniani kote kazi ya upinzani ni kuchukua hoja za serikali na kuzichambua ni kuzihoji kwa kutafuta udhaifu uliopo ikiwa serikali inafanya vizuri upinzani hukaa kimnya hauna haja kusifu kwani hill ndilo jukumu lake kwa wananchi usitegemee huku uingereza utamsikia Corbyn kiongozi wa labour party anamsifia Terreza may waziri mkuuu wa uingereza kuhuru Brexit yaani uingereza kujitoa jumuiya ya ulaya.
 
jaribu kuelewa mada mkuu;

main issue hapa ni kuwa kwa bahati mbaya wapinzani tulionao sio pro active ; wanategemea sana kauli za viongozi wa Serikali ndio waseme; kamwe hutajua falsafa zao wala mipango yao wakishika dola wanakuwa waimbaji tu wa kauli zilizokwishatolewa; walau Dr. mabunduki alikuwa anajitahidi hawa tulionao kwa sasa wanatuaminisha kuwa kuwa mpinzani ni kupinga tu kila kauli jambo ambalo sio kweli.
 
Back
Top Bottom