Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Naomba kuuliza, hivi siasa za tanzania haziwezi kuendelea bila kujumuisha udini,ukabila na ukanda? Je! Kati ya vyama vyote unavyovijua ni chama gani ambacho hakijajumuisha kati ya hayo katika kupambania nafasi fulani ya kuongoza aidha kwenye udiwani, ubunge, urais n,k Tukiingia kiundani zaidi nani ambaye ana asili ya utanzania au mwenye dini yake? Mfano. Wangoni walitokea kusini mwa africa, wamasai walitokea misri karne ya 17/18, datoga na wenyewe kusini mwa africa n.k