Siasa za ofisini & Siasa za mikutano

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Mimi binafsi naona siasa za ofisini kwa tanzania bado hazina mashiko kwa sababu mikutano ya hadhara inawafungua watu weng ambao hawajui kuhusu serikali ama jukumu la serikali kwao.Na vile vile siasa za ofisini kama za kina cuf hazifikii wananchi %95 ndio maana cuf imeendelea kudidimia kila kukicha! MFano mzuri ni kwa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA) ambacho kinafanya mikutano ya hadhara karibia kila mwezi ili kuwawezesha wananchi nini kinachoendelea katika anga la TANZANIA! JE wewe uko upande gani katika siasa za Tanzania? Ofisini au kwenye mikutano?
 
nipo kotekote
ofcn
nyumbani
mikutanoni
vijiweni
radioni
tvni
gazetini
na humu jfni
 
lakini kijiwen ni vitu tofauti na siasa vinavyozungumzwa hali kadhalika katika kanisa/msikiti huwezi kusema kuhusu siaSa vilevile katika soko watu huenda kwa ajili ya manunuz na uuzaji vinginevyo ni batili
 
lakini kijiwen ni vitu tofauti na siasa vinavyozungumzwa hali kadhalika katika kanisa/msikiti huwezi kusema kuhusu siaSa vilevile katika soko watu huenda kwa ajili ya manunuz na uuzaji vinginevyo ni batili

sasa tuitishe mikutano wakati hatuna ujumbe hata wa nyumba 10! mikutano ya magamba wanazuia maswali wanaruhusu nyimbo na burudani,ile ya wapinzani wanaipiga mabomu chozi
 
sasa tuitishe mikutano wakati hatuna ujumbe hata wa nyumba 10! mikutano ya magamba wanazuia maswali wanaruhusu nyimbo na burudani,ile ya wapinzani wanaipiga mabomu chozi[/QU ni lazima wapinzani wapigwe mabom ya machoz kutokana na katiba iliyopo kwa sasa asilimia kubwa iko upande mmoja
 
Back
Top Bottom