Siasa za majitaka za CHADEMA Mbeya na hofu ya kushindwa uchaguzi

mwigulu wewe ni mwarobaini wa chdm. ukikohoa tu watu kamasi zinawatoka pamoja na haja ndogo. nimependa ulivyo laani siasa za vurugu za kuwanywesha vijana viroba na kuwapa unga ili wakaandamane. asante mkuu
Chadema wakisikia jina mwigulu wana kosa raha kabisa,
 
tatizo lako mwigulu unajidanganya sana na huo ubunge wako,na kinacho kunanganya ni hizo sifa anazo kupa mkuu wako mara kwa mara...lakini we huna lolote,na angalia sana mambo yako ulileta habari zako za ugaidi watu wakakuangalia tu,hivi unafikili ni sifa...hivi ndio unajiua kisiasa....na siku tukikufuma tena na mke wa mtu lazima unate.....
 
Vijana wa lwakatare, gaidi mkuu hapa nchini wanaweweseka sasa, gazeti lao la udaku limeacha kuandika habari za kusukana na kufumaniana linaleta uzushi tu
 
Sabodo aliwapa pesa ya kujenga chuo kwa ajiriya mafunzo ya vijana wenu kuhusu siasa lakini mkatumia pesa hio kumnunulia nyumba slaa!!!!! Acheni ujasiliamali wa kisiasa
 
Komred mwigulu, wape neno hao magaidi wanaotembea na sumu hadi bar. Wanaua watu wanajiwahi kulia misibani...look at them!!!!!!!
 
Wamebug meeeeen!!!!! Bahati nzuri au mbaya ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua kazi wanazofanya greenguard na mafunzo wanayofundishwa. Kule wanafundishwa ukalamavu, sasa hawa watembea na sumu wakiona viana wakakamavu wanadhani ni walisha sumu na magaidi kama wao....
 
Ngoma ikivuma sana ujuwe inakaribia kupasuka. Mwingulu au mwengine yoyote ambae anaitisha CHADEMA ila tu tunatahadharisha huo uhuni mnaotaka kufanya utaiweka pabaya nchi
 
Sabodo aliwapa pesa ya kujenga chuo kwa ajiriya mafunzo ya vijana wenu kuhusu siasa lakini mkatumia pesa hio kumnunulia nyumba slaa!!!!! Acheni ujasiliamali wa kisiasa

Mwigulu acha uchochezi wako huu kwa wanachadema, Unataka kugombanisha wanachama na viongozi kwa uongo wako kwani ni lini fedha za Sabodo zimetumika kumnunulia Dk.slaa nyumba.
 
Sabodo aliwapa pesa ya kujenga chuo kwa ajiriya mafunzo ya vijana wenu kuhusu siasa lakini mkatumia pesa hio kumnunulia nyumba slaa!!!!! Acheni ujasiliamali wa kisiasa

Mkuu mbona unaheshimika sana kwanini ujiaribie kwa ujinga kama wa hapo juu, unaonyesha umeongea kitoto sana!
 
Mwigulu acha uchochezi wako huu kwa wanachadema, Unataka kugombanisha wanachama na viongozi kwa uongo wako kwani ni lini fedha za Sabodo zimetumika kumnunulia Dk.slaa nyumba.

hayo ndo kaharibu kila kitu anaonyesha hana kitu kichwani!
 
Sabodo aliwapa pesa ya kujenga chuo kwa ajiriya mafunzo ya vijana wenu kuhusu siasa lakini mkatumia pesa hio kumnunulia nyumba slaa!!!!! Acheni ujasiliamali wa kisiasa
Halafu slaa mwenyewe ametelekeza familia akaenda kupora mke wa mahimbo...laana tupu kwa mzee mwenye mnvi kuiba mke wa jirani yako
 
Wamebug meeeeen!!!!! Bahati nzuri au mbaya ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua kazi wanazofanya greenguard na mafunzo wanayofundishwa. Kule wanafundishwa ukalamavu, sasa hawa watembea na sumu wakiona viana wakakamavu wanadhani ni walisha sumu na magaidi kama wao....

eeeti ukakamavu wa kazi gani? kwanini msifanye hivyo kwavijana woote watanzania mnafanya kwa hao wakufanya fujo tuu!
 
Nenda mahakamani kama gazeti limedanganya.Ulichomfanyia Lwakatare Mungu atakulipa.Watu wa Mungu wanafunga na kusali kwa ajili hiyo tu.
Watu wa Mungu wakifunga na kusali kwa ajili ya mtu.Huyo mtu atakuwa katika hali mbaya pale Mungu atakaposikia na kujibu maombi ya wanamaombi.
 
Wamebug meeeeen!!!!! Bahati nzuri au mbaya ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua kazi wanazofanya greenguard na mafunzo wanayofundishwa. Kule wanafundishwa ukalamavu, sasa hawa watembea na sumu wakiona viana wakakamavu wanadhani ni walisha sumu na magaidi kama wao....

bungeni acha ujinga wako huu, Mbona mnapenda sana uchochezi nyie mijitu?
 
Last edited by a moderator:
tolea maelezo kambi ya kijeshi ya ulemo kabla ya uchaguzi mdogo wa igunga. Ulikuwa unafundisha afya, elimu na mapokezi ya kiongozi yupi? Mwisho wa siku yatawekwa wazi. Ugaidi ufanye wewe kisha useme cdm. Nani alianzisha kambi hiyo ya ulemo?
 
Nina mashaka sana na Mwigulu kwa ulichokiandika na kile kinachofanyika katika hali halisi.

*Kuna haja kweli kwa CCM kuweka kambi ili tu kuwafundisha vijana Itikadi, Elimu ya kujitegemea, Afya na mapokezi ya viongozi?

*Hivi Mwigulu unajua maana na madhumuni ya watu kuweka kambi ya kitu chochote? Mahali popote kambi inapowekwa lengo kubwa ni ''kuzuia mtu mwingine yoyote asiyehusika kutaka kujua kwa kina nini kinachofanyika hapo'' kifupi kambi ni ''Usiri''
Sasa CCM ina mambo gani ya siri na vijana wa kitanzania wa sasa?

*Mara zote tumeona toka Mwigulu umekuwa kada mwandamizi wa CCM, hawa vijana wa CCM wanaotoka kwenye makambi wakiletwa kwenye kampeni au kwenye uchaguzi kuja na kufanya fujo na wakati huo huo wakipewa kinga na jeshi la polisi wasikamatwe. Tuliona Ndago, Igunga, Arumeru mashariki nk.

Please Mwigulu acha kabisa huo ujinga, siku nchi hii ikilipuka hautapona wewe, mkeo wala wanao, wote mtateketezwa.
 
Back
Top Bottom