Rose Can AVENUE
Member
- Dec 1, 2019
- 42
- 13
Moja ya jukumu kubwa ya watu wa interest ni ahadi za viongozi uwe Chadema au CCM ipo siku tutawatumia Ila pale inaposhindikana inakuwa mashindano yasiyo na maana mathalani:
Wakati wa Rais Mstaafu Kikwete ilikuwa "Kilimo kwanza" lengo ilikuwa ni kuboresha kilimo matrector kibao yalikuja na kuoza pale Mwenge.
Wakati wa Rais Magufuli: Ilikuwa ni "Serikali ya Viwanda" kuna watu wameajiriwa kuhakikisha haitekelezeki. Kila la kheri kwa watakao kutana na watu wa interest maana "hatujui kitu gani viongozi wataongea na wananchi wananchi tupige makofi ipo siku tutatafanya"
Zaidi ya viwanda kweli tusubiri.