Siasa za vurugu, umwagaji damu na vitisho. Kauli za kichochezi zisizo na ubinadamu wala uvumilivu hivi sasa watanzania wamestuka na hawataki tena kufitinishwa wala kupigana kwa sababu za maslahi ya viongozi wachache wenye uchu wa madaraka. Nchi haitatawalika, woga ni adui wa haki nk ni kauli tata na za kichochezi za viongozi hawa. Sasa na sisi watanzania tunasema hatutaki tena kusikia kauli hizi, atakayetamka tunakula naye sahani moja. Bandika bandua
Asa za vurugu za machadema zimefikia ukingoni
Mtumie JK hizi picha akaweke kwenye albamu lake! Atakuwa hana
angalia aina ya watu wenyewe wanaojiita REDBRIGADE, GREENGUARD wakiamua kweli watahimili.
View attachment 139725View attachment 139726
Chadema walishagota kwa sasa wanafanya kukunja jamvi tu lakini hawana jipya tena hata wafanye nini.
Chadema walishagota kwa sasa wanafanya kukunja jamvi tu lakini hawana jipya tena hata wafanye nini.
Kwa sasa hakuna kuwachekea wala kulembe ujinga wao wa kufanya fujo na kumwagia watu tindikali na kuuwa.
Sura zinaonyesha sio watu wema hawa!