Siasa za CDM zimefika MWISHO, NANI ATASHIKA HATAMU?

Siasa za CDM zimefika MWISHO, NANI ATASHIKA HATAMU?

unajua hapa tatizo ni la vilaza wengi wenye uvivu wa kuishugulisha akili yao kufikiri, unajua cdm ni ulimwengu wa wasomi,ma profs, na mikakati yao inaenda kitaalam,usipokua makini katka kuwasikiliza huwezi kuwaelewa,manake wapo ki somi zaidi,sasa wewe uliezoea ku unda kamati hata kama tatizo lipo wazi linaonekana utaweza je kuwaelewa?
Hahaha,wacha nicheke,
Kwenye campaign za 2010,mkwer.e alisema ni afadhali Dr.Slaa aingie ikulu kuliko Mh.Lisu awe mbunge,manake anamtambua alivyo smart pale kwa kichwa, . . !

Viva cdm. . !
 
nilikuwa na ve+, kwa sasa niko dialema, nakosa nguvu za kuwaamini hasa kufuatia kitendo chao cha kuingia ikulu ambacho si shida sana, lakini kitokanacho na makubaliano ya ikulu
Sijui umesoma nini pale Mlimani? Lakini nakushauri kuwa katika siasa lazima tuwe na political tolerance ili watu wasije wakafa bure, lazima pia tuwe na mazungumzo ya kisiasa ili tuelekee amani. Kumbuka CDM walikuwa na uwezo wa kufanya yote unayofikiri lakini wengi wangeuwawa na polisi kwa pigwa risasi. Pia wangechochea zaidi hali ya kisiasa kuwa mbaya zaidi hapa nchini.
Ninakuomba tu ndugu yangu endelea kukishauri chama in +ve way ili adui CCM aanguke.
 
wewe una chuki binafsi na mnyika ...unajaribu kuelezea utabiri wako wa shekh yahaya kumbe unayemlenga ni mnyika...umekufa kimawazi,jitahidi kujifunza mengi zaidi ya jujifanya kujua mengi
 
Hbr wana Jamvi.

Nitangaze kukipenda CDM. Nilipata kadi ya CDM mwaka 2007 wakati Dr. Slaa, Prof. Baregu na wengine wengi walipofanya mdahalo ukumbi mmoja pembeni ya mliman city, eneo la survey ilikuwa 2007, Kipindi hicho nilikuwa 2nd year. Niliamua kuchukua kadi yao kwa kuwa niliamini CDM kimebeba matumaini ya watanzania. Na kwa kazi waliyoifanya kipindi kile CDM walistahili pongezi na ndo iliwafanya wafike hapo walipo leo.

Siku zote maisha ni kupanda na kushuka. Katika medani za siasa,
(i) NCCR Mageuzi ilipanda chat sana, lakini baada ya muda ikashuka 1995-2000
(ii) Kushuka kwa NCCR, kukatoa mwanya wa CUF kupanda ambapo wameshika hatamu kwa vipindi viwili mfululizo hasa kwa kuwa na idadi ya wabunge wengi. 2000-2010. Kuingia kwao kwenye makubaliano na CCM,ndo ukawa mwisho wao wa kushika hatamu kwa vyama vya upinzani Tanzania.
(iii) CHADEMA, wakatumia mwanya huo, mpaka wameshika hatamu ambayo itawafikisha 2015, lakini naamini watafika 2015 wakiwa hoi kama hawatafanya mabadiliko ya kiutendaji ndani na nje ya CHAMA. Kinachowaua ni kile kilichowaua CUF, KUINGIA MIKATABA YA KILAGHAI na CCM

Swali langu ni je, iwapo CDM ambacho kimekuwa kikitumainiwa na wananchi waliowengi, na kilikuwa mbioni kuaminiwa kupewa nchi, kama hawatabadilika na kupotosha matamko yaliyotolewa na Mnyika baada ya wao kuingia makubaliano maalum na CCM, ya kutoshiriki kwa namna yoyote ile mchakato wa kupatikana katiba mpya, na kusitisha MAANDAMANO yaliyowafikisha hapo walipo. NANI ATASHIKA HATAMU? WATANZANIA WATAMWAMINI NANIU TENA? TLP? UDP? UPDP au SAU?

Naona akilini mwangu nashuhudiwa kuwa Tanzania hakuna upinzani, bali wote wamekuwa ni vibaraka wa CCM. Mrema alianza vizuri, mwisho karudi nyumbani=CCM, Maalim Seif alipanda chat, lakini karudi CCM, CDM, wamepanda chat mwisho wake wamerudi CCM, hii ni kwa makubaliano waliyoyafanya na kisha kumtuma MNYIKA kuwa msemaji wa CHAMA.

Dr. Slaa na Zitto vipenzi wa wengi nchini na wenye ushawishi, wako wapi?

Tujadili kwa manufaa ya kukuza demokrasia nchini

Kwa watu wa kweli na wawazi mtoa mada hata kujiunga kwake na chadema kunaonesha shaka mana anasukumwa na matukio.
Njia za sasa tunazozitumia hazimpi raha kabisa.
 
Ntamaholo, amka kumeshakucha, acha kuweweseka, hebu tusimulie umeota nini, manake ulikuwa unafurukuta mno kama unakabwa na jinamizi la ccm huku ukionyesha dalili kama ukiomba msaada kwa cdm, haya nawa uso utusimulie hako kanjozi kako!
 
Watu wanaoogopa maafikiano yaliyofikiwa kati ya serikali na CCM ni waoga na wanataka kupotosha ukweli..kimsingi makubaliano ya CDM na serikali na sio CCM kama ambavyo wengi wanasema hayafanani na ya CUF na CCM...na msimamo wa CDM uliwekwa wazi na Kamanda Mnyika...matatizo yenu na malengo yenu yakutaka kugeuza lengo si sawa hata kidogo mkuu...napenda kukuhakikishia kuwa CDM ni imara,na sasa tupo kwenye mpango mkakati wa kuzunguka nchi nzima kuwapa elimu ya uraia wanachama wetu na watanzania kwa ujumla juu ya ulaghai wa CCM na serikali yake......CDM ni chama imara na kina watu wanaoaminika!!!
 
Aliye anzisha thread hii anaitwa "Ntamaholo" ikiwa na maana kwa Kiha, Kirundi, Kinyarwanda, Kihangaza, Kishubi, Kinyankole, kisubi nk kuwa "asiye na amani"!
Kwa maana hiyo mtu huyu asiye na amani ni mtu kutoka katika makabila au mataifa haya ambaye hana amani na uwepo wa ''CHADEMA yenye Amani na Nguvu". Anaweza akawa ni mwanachama wa CHADEMA lakini asiyekuwa na amani kuona Mnyika anapeta kwa kupewa rungu la kuwa msemaji wa chama au vile vile anaweza akawa anatoka katika chama cha Masisiem maana ndio watu wasiokuwa na amani wakiona CHADEMA inaendelea kujiimarisha na kupendwa zaidi na wananchi.
 
... siyo yale ya Munyika, MUNGIKI ndani ya chama


I'm one of Great Thinkers who never discuss peoples but issues! If you have personal affairs with Hon. Mnyika, dont take us into your mess. We're not as stupid as you look!
 
Unajua watu tunadhani Chadema inaongozwa na porojo na kujazana upepo humu mtandaoni ,sitaki kusema labda haiziheshimu hisia zetu la hasha.... ila haikichukui kila tukisemacho kwa kadri tukitakavyo bila kufanyiwa kazi kwa kina ...

Chadema ni chama makini kilichowahi kupita kwenye milima mikubwa hata iliyonje ya uwezo wetu kifikra na mwisho wa siku tukashuhudia mafanikio.

Najua kua sisi ni watu muhimu sana kwa uhai wa chama ila sio vibaya tukakubali sio vyote vijadiliwavyo kwenye kamati kuu nilazima tuvifahamu papohapo itatugharimu......maana chama kikikosa siri na mipango thabiti nirahisi kusambaratishwa na maadui

Shida niliyoiona hapa ni kama tunaanza kuhisi Chama kama kimepoteza nguvu na ujasiri kilichokua nacho kabla na sasa tunadhani baada ya kwenda Ikulu labda kimenunuliwa, kimetusaliti,kwa kutokutuambia nini hasa ulikua msimamo wao na wamefikia wapi na ni hatua gani za msingi watachukua iwapo hoja zao zisipo pewa nafasi stahiki zaidi ya kukutana na lundo la watoa kauli za chama .bado mapema sana nahisi kunamakubaliano wamewekeana na naamini hilo ndilo linalosubiliwa na siajabu ikawa kwenye kikao cha January ...kimsingi hakuna wakununuliwa pale.

Kwa mtazamo wangu nahisi lengo la CHADEMA kuonana na Rais limezaa matokeo makubwa na mazuri pengine kuliko tunavyo dhani nikiamini uongozi mzima wa Chadema ni viongozi makini wanaoijua sheria pia waliojaa uzalendo wakweli kwa inji yetu ,na kwakua wanaijua nguvu ya uma na wakati husika hawawezi kumshika binti yao matiti hadharani hiviii.....

Tujenge matumaini kwa Chama chetu na tuamini kutoka ndani na chini ya mioyo yetu hakuna mwenye uwezo wakutununua kirahisi hivi....na kama CCM wanadhani wamefanikiwa waache kutekeleza yaliyoafikiwa watauona mtitiwake kwa jina la Mungu hapata tosha....
 
Aliye anzisha thread hii anaitwa "Ntamaholo" ikiwa na maana kwa Kiha, Kirundi, Kinyarwanda, Kihangaza, Kishubi, Kinyankole, kisubi nk kuwa "asiye na amani"!
Kwa maana hiyo mtu huyu asiye na amani ni mtu kutoka katika makabila au mataifa haya ambaye hana amani na uwepo wa ''CHADEMA yenye Amani na Nguvu". Anaweza akawa ni mwanachama wa CHADEMA lakini asiyekuwa na amani kuona Mnyika anapeta kwa kupewa rungu la kuwa msemaji wa chama au vile vile anaweza akawa anatoka katika chama cha Masisiem maana ndio watu wasiokuwa na amani wakiona CHADEMA inaendelea kujiimarisha na kupendwa zaidi na wananchi.

Kaka inaonyesha wewe ni mtu wa ucheshi sana, umenichekesha sana. Poa
 
Sawa ndg, umesema ulikuwa mwaka wa pili ulipoanza kushawishika na CDM, Kama ulikuwa mwaka wa pili university level you could understand what Mnyika said. vinginevyo ulikuwa mwaka wa pili nursery level, lots of words but no connectivity with topic stated.
 
Chadema si chama ni kampuni nia ya chadema ni kupata ruzuku sio kuchukua dola sasa chadema wanapata milion 280 kila mwezi kama ruzuku kutoka serikalini ndio maana wameamua kumlipa DK Slaa milion 7 na laki mbili kila mwezi kama fadhila ya kupandisha ruzuku.watanganyika wanahitaji mabadiliko lakini viongozi wa juu wa chadema wanafanya biashara ya kuwahadaa watanganyika ukitaka kuona hilo nenda kagombee uongozi wa juu wa chadema utasikia hatuwezi kumpa mtu chama tusiemjua.watanganyika lazima tuamke tuache kuchezewa na hivi vyama maslahi kampuni.nashangaa sana kuna watu wanasema wanakijua chadema vizuri na kiundani mtu yeyote anaekijua chadema kiundani hawezi kukipenda maana kuna unafiki mkubwa sana ambao wanachama akijua anaweza kuzila chama mala moja.angalia DK slaa anashinda kwenye kesi arusha kesi za maandamano na kutaka kumtoa lema alie katalia jera leo chama kinatumia pesa nyingi kuendesha kesi za lema arusha wakati chama hakina hata ofisi mikoani wala wilayani mtu unasema chama kiko makini umakini wa kutumia pesa za chama na mda wa chama kuhangaikia kesi ya mtu anaye taka umaarufu.Dk slaa anashinda arusha kwenye kesi za kijinga huku akimuachia nafasi mnyika ikitoa matamko ya kijinga na kututaka watanganyika tumuunge mkono,viongozi wa chadema acheni kuwahadaha wananchi iko siko watakuja kuwajua mtatukatisha sana tamaa ya mabadiliko kama cuf
 
hbr wana jamvi.nitangaze kukipenda cdm. Nilipata kadi ya cdm mwaka 2007 wakati dr. Slaa, prof. Baregu na wengine wengi walipofanya mdahalo ukumbi mmoja pembeni ya mliman city, eneo la survey ilikuwa 2007, kipindi hicho nilikuwa 2nd year. Niliamua kuchukua kadi yao kwa kuwa niliamini cdm kimebeba matumaini ya watanzania. Na kwa kazi waliyoifanya kipindi kile cdm walistahili pongezi na ndo iliwafanya wafike hapo walipo leo.siku zote maisha ni kupanda na kushuka. Katika medani za siasa, (i) nccr mageuzi ilipanda chat sana, lakini baada ya muda ikashuka 1995-2000(ii) kushuka kwa nccr, kukatoa mwanya wa cuf kupanda ambapo wameshika hatamu kwa vipindi viwili mfululizo hasa kwa kuwa na idadi ya wabunge wengi. 2000-2010. Kuingia kwao kwenye makubaliano na ccm,ndo ukawa mwisho wao wa kushika hatamu kwa vyama vya upinzani tanzania.(iii) chadema, wakatumia mwanya huo, mpaka wameshika hatamu ambayo itawafikisha 2015, lakini naamini watafika 2015 wakiwa hoi kama hawatafanya mabadiliko ya kiutendaji ndani na nje ya chama. Kinachowaua ni kile kilichowaua cuf, kuingia mikataba ya kilaghai na ccmswali langu ni je, iwapo cdm ambacho kimekuwa kikitumainiwa na wananchi waliowengi, na kilikuwa mbioni kuaminiwa kupewa nchi, kama hawatabadilika na kupotosha matamko yaliyotolewa na mnyika baada ya wao kuingia makubaliano maalum na ccm, ya kutoshiriki kwa namna yoyote ile mchakato wa kupatikana katiba mpya, na kusitisha maandamano yaliyowafikisha hapo walipo. Nani atashika hatamu? Watanzania watamwamini naniu tena? Tlp? Udp? Updp au sau? Naona akilini mwangu nashuhudiwa kuwa tanzania hakuna upinzani, bali wote wamekuwa ni vibaraka wa ccm. Mrema alianza vizuri, mwisho karudi nyumbani=ccm, maalim seif alipanda chat, lakini karudi ccm, cdm, wamepanda chat mwisho wake wamerudi ccm, hii ni kwa makubaliano waliyoyafanya na kisha kumtuma mnyika kuwa msemaji wa chama.dr. Slaa na zitto vipenzi wa wengi nchini na wenye ushawishi, wako wapi?tujadili kwa manufaa ya kukuza demokrasia nchini
maneno yako mengi sana lkn sioni lolote la maana, ulikuwa 2nd year mlimani primary au??, wewe naona kama umetumwa na magamba vile, nakushauri rudisha kadi ya cdm chukua ya cuf au ccm. Huko panakufaa sana. Hatudanganyikiiiiiiii.....
 
mkuu inshort hatudanganyikiii, we chukua time rudi zako CCM au CUF na huko ndo panakufaa, hizi kelele hatutaki kuzisikiliza wala kuzisoma tene... u r aka Gamba namba 2
 
sawa mkuu, kutoshiriki mchakato wa katiba ni kuheshimu sheria za nchi? kutokuandamana kwa kudai kitu kinachoigusa jamii/waliowengi ni kuheshimu sheria za nchi? kuna sheria inayowakataza kutokuandamana? kuna sheria inayowakataza kushiriki mchakato wa kupatikana katiba mpya?
Nakushauri ukaseme vizuri tamko la mnyika kuhusu ushiriki ktk katiba naona kuna baadhi ya mambo hukuyaelewa,
 
Ni kweli mtoa mada anaonekana kuwa na negative attitude dhidi ya chadema kuanzia title ya thread yake!Ni kweli pia kuwa mtoa mada anaonekana ana chuki binafsi na Mnyika hasa pale alipomuita 'Mungiki'!Pamoja na mapungufu ya uwasilishaji wa mtoa mada,hoja moja inaendelea kuwa ya muhimu na cdm wanatakiwa kutoa ufafanuzi.Ukisoma press conference ya Mnyika kuna maneno haya.."Chadema haitashiriki kwenye mchakato wa katiba mpya kwa namna yoyote ile hadi hapo sheria hiyo itakapobadilika..."Hapohapo tena wabunge wa cdm wasambazwa majimboni kutoa elimu kuhusu mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya!Sasa hapa wakuu sio "contradiction"?Wana maana gani kusema kuwa hawapo tayari kushiriki kwa namna yoyote mpaka sheria hiyo ibadilishwe nahapohapo wanaenda majimboni kutoa elimu ya upatikanaji wa katiba mpya na huku sheria ikiwa bado haijabadilishwa?Labda hatuelewi,kwahiyo tunaomba tuelimishe na au walinukuliwa vibaya hivyo tunawataka watoe ufafanuzi.Viva chadema...pamoja twaweza
 
rejea matamushi ya Mnyika akiongea na waandishi wa habari kwa niaba ya CDM. Alisema, CDM, haitoshiriki kwa namna yoyote ile, means hata kuwaita wananchi na kuwaeleza wao hawamo, hawatafanya hivyo. Lakini nimefarijika na mtamshi ya Zitto na Slaa, yanonesha matumaini siyo yale ya Munyika, MUNGIKI ndani ya chama
Hiki ulichoandika si kweli kwani CDM imetuma wabunge na viongozi wengine nchi Zima kutoa elimu juu ya ushiriki wa CDM kwenye katiba Mpya kasome taarifa ya mnyika yote utaielewa kuwa haitofautiani na wanachosema Zito na Dr. slaa.
 
Mkuu,
Inaonekana wewe huifahamu cdm vizuri! Wamemtega JK nae akaingia kingi. Wamewathibitishia watz kwamba JK sio msikivu kama wanavyosema wapambe wake. Wame prove beyond reasonable doubt kwamba ni mnafiki mkubwa na halitakii mema taifa. Sasa kazi iliyobaki cdm ni rahisi sana. Kuwaita wananchi na kuwaeleza unafiji huu! Halafu wao wataamua hatima yao. Kimsingi cdm wamepanda chati zaidi kuliko unavyowaza!

habari za kufikirika hazifai cdm wamemtega jk? Masaburi mkubwa we
 
Back
Top Bottom