Siasa za CDM zimefika MWISHO, NANI ATASHIKA HATAMU?

nilikuwa na ve+, kwa sasa niko dialema, nakosa nguvu za kuwaamini hasa kufuatia kitendo chao cha kuingia ikulu ambacho si shida sana, lakini kitokanacho na makubaliano ya ikulu

Anzisha basi chama chako na wewe tukuone mjanja.
 
sioni pahala CDM waliposhindwa...they are in the right track! tatizo la siasa za tanzania watu wamekuwa wakizichukulia kama mpira wa SIMBA na YANGA!

thats very true mkuu,WaTanzania tunachukulia siasa kama vile ni ushabiki wa mpira,tunashindwa elewa kua siasa imebeba mustakabari wa maisha yetu
 
Fuatiia kwa makini statement yao kabla ya kukutana ikulu walisemaje

Nadhani walienda ikulu kwa manufaa ya wananchi ili kumueleza Rais kwa nini walitoka nje ya bunge, kutoa maoni yao na misimamo yao, Nafikiri wamekubaliana mengi na hawajakubaliana mengi pia. Labda tatizo ninalo liona ni usiri uliopo ktk mazungumzo yao hili ndilo tatizo Maana hata wenzao CUF nao imekua SIRI hatujui ikulu kujadiliwa nini

usiri huo si utaleta CCM C?
 
Back
Top Bottom