tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,779 Reaction score 31,291 Dec 11, 2017 #41 Majeshi yanatumiwa na ccm. Watanzania daini katiba mpya na tume huru ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
Majeshi yanatumiwa na ccm. Watanzania daini katiba mpya na tume huru ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,094 Reaction score 75,538 Dec 11, 2017 #43 MsemajiUkweli said: Mkuu; Huyo huyo mgawa papuchi ndiye alimfanya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa apagawe! Kama mgawa papuchi hana maana basi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aliyepagawishwa tumuweke katika kundi gani? Click to expand... Wewe ndiyo ulimshikia miguu? Na apagawe kwani ina TV ndani? Mateja washaivuruga mna nini tena kama kama siyo tope tu?
MsemajiUkweli said: Mkuu; Huyo huyo mgawa papuchi ndiye alimfanya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa apagawe! Kama mgawa papuchi hana maana basi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aliyepagawishwa tumuweke katika kundi gani? Click to expand... Wewe ndiyo ulimshikia miguu? Na apagawe kwani ina TV ndani? Mateja washaivuruga mna nini tena kama kama siyo tope tu?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,460 Dec 11, 2017 #44 Wema bado ana mvuto.