Siasa za Afrika ni kwanini yanatumika mabavu?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,969
Reaction score
51,130
Kuna nini Afrika mpaka kufanya siasa iwe ni kwa Mabavu, ghiliba, Uzushi, Uonevu, uuaji na ukandamizaji wa haki za binadamu kwa kiwango cha hali ya juu sana? Halafu inakuwaje hao wanaokandamiza wengine huwa wanapata wafuasi?
 
Mabavu yapo uarabuni na sio africa unakosea
 
Uarabuni wanatawaliwa kisultani. Kama mnadai mnafuata kanuni za kuchaguana kidemokrasia haitakiwi muendeshe mambo yenu kama vile mnatawalana Kisultani. Kwa mujibu wa sheria za kiutawala Mfalme huwa hakosei lakini viongozi wanaochaguliwa kwa kura huwa wanakosea na ni lazima wakubali kukosolewa.
 
Kuna nini Afrika mpaka kufanya siasa iwe ni kwa Mabavu, ghiliba, Uzushi, Uonevu, uuaji na ukandamizaji wa haki za binadamu kwa kiwango cha hali ya juu sana? Halafu inakuwaje hao wanaokandamiza wengine huwa wanapata wafuasi?

Ustaarabu bado ni mdogo!!!
 
Serikali zipo Ulaya na Marekani, Africa kuna Magenge ya kihalifu.
Naangalia Marekani wanavyomwita Rais wao Donald Trump kuwa ni "Mwongo" "Mzushi" "hajiamini" "Mbaguzi" "Mtu wa hovyo" "Mkwepa Kodi" na mengine mengi. Najiuliza kama ingekuwa ni kwenye nchi zetu hizi za Kiafrika kingetokea nini?
 
Ben Sanane.!
 
Africa ubavu/mabavu ubabe umeanzia toka enzi za mababu zetu... Enzi za machifu, ubabe na mabavu kwenda mbele...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom