Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,016 Reaction score 16,439 Oct 15, 2021 #1 Kuna hii video nimepatana nayo huko youtube nakuambia imeniwacha hoi, nimecheka kweli. Siasa ya Kenya kweli ina ucheshi sana. Halafu huyu jamaa aliyeunda hii video namvulia kofia. Hongera kwake.
Kuna hii video nimepatana nayo huko youtube nakuambia imeniwacha hoi, nimecheka kweli. Siasa ya Kenya kweli ina ucheshi sana. Halafu huyu jamaa aliyeunda hii video namvulia kofia. Hongera kwake.