Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Nimeona watu wengi wakiuliza kulikoni Bei ya Mafuta inapaa kila kukicha na kutishia uchumi wa mmoja mmoja.
Ukweli Bei ya Mafuta soko la dunia imepanda, lakini ukweli ulio wazi sio kwa Bei hizi za huku bongo.
Bei huku Tz ni kubwa kutokana na utitiri wa Kodi, hivyo kufanya mafuta kuuzwa hadi zaidi ya 2700 kwa baadhi ya mikoa.
Litre moja ya Mafuta ina kodi zaidi ya 20. Hivyo ndio maana tunaona Bei ipo juu sana. Serikali inaweza kabisa kushusha Bei ya Mafuta kwa kufuta baadhi ya Kodi.
Kutoka mafuta yanapotoka hadi kufika Dar ni sh.1162 , hivyo utitiri wa Kodi ndio unapelekea mafuta kuuzwa hadi zaidi ya 2700
Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162
Chini ni Kodi zinazofanya Bei iwe kubwa;
Hivyo Mama Samia anaweza kuamua kuondoa baadhi ya Kodi hapo ili wananchi wapate unafuu.

- Wharfage
- Railway Development Levy
- Customs Processing Fee
- Weights and Measures Fee
- TBS Charge
- Tasac Fee
- Ewura Fee
- Fuel Marking
- Demurrage Costs
- Surveyors Costs
- Financing Costs
- Evaporation Losses
- Fuel Levy
- Excise Duty
- Petroleum Fee
- Oil Marketing Companies Overheads & Margins
- Charges Payable to Executive Agencies
- Service Levy payable to Local Government(Wholesale)
- Service Levy Payable to Local Government(Retail)