Kadiri unaozidi kuandika humu ndivyo unavozidi kudhuhirisha uzuzu wako. A human being a political animal, sasa sijui unavosema mambo ya kiranja na dada mkuu unaanisha nini mkuu. Unakibeza chuo cha mipango huku ukionyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri. Sasa sijui huko ulikosoma ndo wallishia kukufundisha kufikiri backward hivo. Jisifie unachojua sio wanakofundisha kujua bana.