Siasa si kila mahali

Dec 16, 2011
5
4
Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa mgomo wa madaktari upo kisiasa zaidi,haiwezekani wawakilishi wa serikali (MAWAZIRI)wanawakataa katika lengo la kuafanya mazungumzo ya kufikia muafaka,kama si kukaa na serikali mezani wanataka kukaa na nani kuzunguamza kero na matatizo yao?Tuache siasa katika kila jambo watz,na si sawa hata kidogo kutumiwa na Chama fulani kutimiza malengo yao ya kisiasa dhidi ya chama tawala.
 
If you have nothing to do don't do it here
Stribtly for great thinkers
No tresspasing
 
Dalili mojawapo ya Celebral Malaria ni mgonjwa kufanya vitu tofauti na kawaida ( change of behaviours).
Mgonjwa akichelewa kupata matibabu anaweza kupoteza maisha au kuwa na ulemavu wa ubongo!
 
Back
Top Bottom