Siasa nyepesi anazofanya John Mnyika

Siasa nyepesi anazofanya John Mnyika

Tangu nianze kumfahamu huyu muheshimiwa sijawahi kumsikia akileta hoja nzito zenye nguvu zinazolingana na nafasi aliyonayo ndani ya Chama chetu badala yake amekua mtu wa kulazimisha hoja kupiga makelele wakati mwingi najiuliza hivi ni jambo gani amewahi kulifanya Mnyika likaacha kumbukumbu kwa watanzania zaidi ya haya 1kumtukana mkwere tukutoa hadharani namba za makinda3kutoa hadharani namba za Prof Maghembe kuwakusanya wanawake ili waandamane na ndo za maji na kudandiadandia hoja hapa ndio najiuliza kwa aina ya wapinzani kama mnyika tutafika?
Nina wasiwasi kua wewe ni Zitto.Hizi hua ni tabia zake kutaka aonekane yeye tu.
 
Tangu nianze kumfahamu huyu muheshimiwa sijawahi kumsikia akileta hoja nzito zenye nguvu zinazolingana na nafasi aliyonayo ndani ya Chama chetu badala yake amekua mtu wa kulazimisha hoja kupiga makelele wakati mwingi najiuliza hivi ni jambo gani amewahi kulifanya Mnyika likaacha kumbukumbu kwa watanzania zaidi ya haya 1kumtukana mkwere tukutoa hadharani namba za makinda3kutoa hadharani namba za Prof Maghembe kuwakusanya wanawake ili waandamane na ndo za maji na kudandiadandia hoja hapa ndio najiuliza kwa aina ya wapinzani kama mnyika tutafika?

Vipi umevuna vitunguu huko kwako Mang'ola?
Ungeachana na Mnyika ungeongeza shamba
 
The Phylosopher Neno M-bunge linatokana na neno Bunge. Ili ujue kazi za mbunge ni lazima kwanza ujue kazi za Bunge. Kazi za bunge si sawa na kazi za Serikali. Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba tafsiri ya neno Bunge linatokana na neno la Kiingereza "Parliament" ambalo nalo limetokana na neno la kifaransa "parler" likimaanisha "zungumza" kama Myika huwa anazungumza Bungeni basi jua anatimiza wajibu wake kwa watu waliomchagua!!
 
kuwa makini unapopost humu jf.mi natafsirir kama unataka kuolewa na mnyika wewe sio bure na umetumwa kabisaa
 
Tangu nianze kumfahamu huyu muheshimiwa sijawahi kumsikia akileta hoja nzito zenye nguvu zinazolingana na nafasi aliyonayo ndani ya Chama chetu badala yake amekua mtu wa kulazimisha hoja kupiga makelele wakati mwingi najiuliza hivi ni jambo gani amewahi kulifanya Mnyika likaacha kumbukumbu kwa watanzania zaidi ya haya 1kumtukana mkwere tukutoa hadharani namba za makinda3kutoa hadharani namba za Prof Maghembe kuwakusanya wanawake ili waandamane na ndo za maji na kudandiadandia hoja hapa ndio najiuliza kwa aina ya wapinzani kama mnyika tutafika?
(e.t.c.) end of thinking c........
 
Unauliza Kabwe kfanya nn Kigoma Kskazini! Umevurugwa,nenda kaone alichofanya.
 
Mnyika huu ni ubunge wake wa mwisho, amekuwa akiishi kwa uongo uongo tu.
Mlishasema kwamba mwaka huu harudi bungeni, sasa mnasogezea 2020 siyo? Sitashangaa baada ya uchaguzi wa 2020 mkasema harudi bungeni 2025
 
Yaani mbunge anaeongoza kwa kuchangia bungeni na kutoa hoja ndo unamuanzishia thread ya kijinga hivi!
 
Inaonyesha hufuatilii mambo ya nchi au kama unafuatilia huelewi. Mnyika ukiacha kuzungumza kwake kwa sauti ya juu sana ambako hata mie huwa sikupendi, hoja zake ziko very constructive na ndio maana hata Spika aliyepita ukimuita pembeni umuulize ni Mbunge gani kwake yeye akiulizwa chini ya kiapo cha kusema kweli kama ana mu admire, atamtaja Mnyika
Mkuu mama makinda alishawataja wabunge atakao wamiss ni mnyika, mdee, tundu lissu, mkosamali na filikunjombe. Wengine wa chama chake wote tupa kule, hakuna cha msaliti zitto wala mwigulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom