The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,214
- 3,353
Tangu nianze kumfahamu huyu muheshimiwa sijawahi kumsikia akileta hoja nzito zenye nguvu zinazolingana na nafasi aliyonayo ndani ya Chama chetu badala yake amekua mtu wa kulazimisha hoja kupiga makelele wakati mwingi najiuliza hivi ni jambo gani amewahi kulifanya Mnyika likaacha kumbukumbu kwa watanzania zaidi ya haya 1kumtukana mkwere tukutoa hadharani namba za makinda3kutoa hadharani namba za Prof Maghembe kuwakusanya wanawake ili waandamane na ndo za maji na kudandiadandia hoja hapa ndio najiuliza kwa aina ya wapinzani kama mnyika tutafika?