Siasa ni undugu

ADRIAN

Senior Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
113
Reaction score
27
Ndugu zangu wana-jf, ninakabiliwa na wakati mgumu sana. Mama yangu mzazi anaumwa sana na nimepokea taarifa sasa hivi kuwa anatokwa damu puani hadi kupelekea kuzimia na alipozinduka akaanza kutapika. Nisaidie mawazo na pengine ushauri. 0784462729
 
Mpeleke hospital coz hiyo ni emergency wala haihitaji kushauriana hapa, na hata madaktari watashauriana tu huku mgonjwa anaendelea kupata huduma ya kwanz. Kwani wewe ni mwanasiasa mbona kuweka kichwa cha habari hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…