Siasa ni "Hidden Agenda"

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
Siasa ni majadiliano (debates) isiyo na mwisho (endless debate) kila mwaka bungeni..

Siasa ni ahadi zisizo na mwisho (endless promises) kila baada ya miaka mitano manifesto mpya, mambo mapya watu wapya...

Siasa ni kile kisichosemwa hadharani (hidden agenda); press release is a plan to manipulate public

Most impotant siasa ni kile ambacho hakijasemwa hadharani..(hidden agenda) ukijua hayo huwezi kupata shida na wanasiasa!
 
Back
Top Bottom