Siasa naiogopa sana

Siasa naiogopa sana

Richard chilongani

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
324
Reaction score
112
*Mbunge* wa Tanzania akimalza muda wake anataka apewe *kiinua mgongo* chake chote kwa mkupuo na wamejiwekea utaratibu huo kisheria

Mbunge huyo huyo ametunga sheria kwamba *Mstaafu wa Tanzania* apewe 25% ya _*alichojikusanyia*_ kwa muda wake wote wa utumishi na 75% atalipwa kidogo kidogo kwa *miaka 12*.

Pia wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa, kigezo cha mtu kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika (la saba), dereva wake awe na cheti cha kidato cha nne(amefaulu). Mtu huyu huyu anaejua *kusoma na kuandika tu* (hana taaluma) anapewa jukumu la kutunga sheria, sheria hiyo inapelekwa kutafsiriwa na mtu mwenye *DEGREE*.

Siasa naiogopa sana.
 
ukiwa mpenda mungu huwezi kuwa mwanasiasa, nashangaa baadhi ya wachungaji ni wanasiasa ....
 
Back
Top Bottom