Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,297
Ukiweka ushahidi wa hayo uliyoandika itapendeza zaidi. Mimi niliyokueleza yako wazi kwenye Public records.Mbona mwenyekiti wenu kampa wizara yakokoto hawara yake?
Na yule hawara mwengine kupewa nyumba ya shirika.
Mmhhh!!! Wasukuma ata hatujaongea walivyopewa vitengo nyeti hayaa sio agenda yetu.
1.KATIBA
2.TUMEHURU
3.UDIKTETA MWISHO 2020
Je hizi shutuma zako tunazipata wapi kwa uthibitisho zaidi kamanda!!???