Siasa kuiponza Twiga Stars kwa Zimbabwe Ijumaa

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Twiga Stars.JPG

Kila la heri timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, lakini ukiachana na ahadi ya zawadi ya Shs. 300,000 kwa kila mchezaji, swali lililo kubwa ni iwapo timu yetu imepata dawa ya kuifunga Zimbabwe kwenye michuano ya Ubingwa wa Wanawake Afrika.

Timu hizo zinapambana Ijumaa hii Machi 4, 2016 kwenye Uwanja wa Azam Complex huku Serikali ikiahidi kwamba, endapo Twiga itawafunga wadada hao wa Zimbabwe, basi kila mchezaji atapata Shs. 300,000 kama zawadi na wakirudia tena kuwafunga huko Harare wiki mbili baadaye, watapata kiasi kama hicho.

...HII NDANI
 
Back
Top Bottom