Siasa kandamizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa kandamizi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Mar 15, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  zinaumiza sana. ukitaka kujua kuwa sehem ina maendeleo, wakazi wa pale hudumu eneo hilo kwa muda mrefu. mtoto anaweza kuzaliwa hapo na kuolea hapo. mahitaji yake anayapata hapo! hii ni tofauti kwa mkoa kama wa kilimanjaro. pale wamebaki wagumu tu! kisa--siasa kandamizi. kwa vile nyie mnafagilia upinzani basi mle upinzani. mnawaambia nini wakazi wa moshi kuhusu itikadi hizi za siasa. hamna tena kitu pale (maendeleo)
   
 2. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe umetokea wapi tena kwi kwi kwi kwi kwi.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tatizo liko wapi ndugu mwenye kwikwi?
   
 4. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wala sina kwikwi ndugu yangu ila umenichekesha tu jinsi mada yako ilivyokuja ka-risasi. Wamekukosea nini watu wa K'njaro?
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hawajnikosea bali wamekosewa sana na siasa kandamizi kwani mi ni mmoja wanaotoka huko. niendapo na kuona hali ya kule hainipi matumaini
   
 6. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana,
  Kwa hiyo unashauri warudi CCM?
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hapo pana utata. labda warudi au wasirudi ila upinzani uwe na asilimia kubwa bungeni. ila kwa sasa na washauri warudi chamani
   
Loading...