siasa imefika patamu ;hapa wapi?

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
we unadhani hapa wapi
hizi bendera wanawahi mapema asubuhi kuziweka na.jioni kila mtu anatoa ya kwake
ila asubuhi ni shughuli kupata nafasi
 

Attachments

  • 1444399371797.jpg
    89.7 KB · Views: 1,699
  • 1444399453071.jpg
    93.5 KB · Views: 1,592
Mwanza kuna mtifuano wa hatare sana . ccm wamwemwaga ukali ukawa wakamwaga mboga jiji full kuchanganyikiwa.
 
Utamu wa mwanza bendera za ccm zinawekwa kwa pesa wakati za ukawa zinawekwa kwa mapenzi na washibiki wao

Boda boda hata juzi zimenunuliwa na kinana wakati za chadema wanaenda kwa gharama zao
 
hapo mwanza round about ya moil
 
we unadhani hapa wapi
hizi bendera wanawahi mapema asubuhi kuziweka na.jioni kila mtu anatoa ya kwake
ila asubuhi ni shughuli kupata nafasi

Mwanza round about karibu na stanbic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…