Siasa iko CCM, wengine wasindikizaji

Pumba tupu, mbona kila kitu kipo wazi? hao wasanii anaowataja ni wachumia tumbo tu wenye kusaka maslahi binafsi kama alivyo yeye chonza.Wakati mnapiga kelele mitandaoni sisi tupo field tukihamasisha masela kupata vichinjio.
 
We.m4c kwani kunajambo ambalo mnakubali ninyi? kila jambo linawapeleka puta na hamewezi kukubali chochote Hiyo ndio slogani yenu bhana hatuwashangai
 
Hata wezi wako CCM wengine wana sindikiza.
 
Njaa mbaya sana, huyu binti juzi juzi tulimuona wa maana kumbe pumba tupu.
 
Pumba tupu, mbona kila kitu kipo wazi? hao wasanii anaowataja ni wachumia tumbo tu wenye kusaka maslahi binafsi kama alivyo yeye chonza.Wakati mnapiga kelele mitandaoni sisi tupo field tukihamasisha masela kupata vichinjio.

Achana nae huyu, anabwabwaja kachanganyikiwa mawifi mamekuja Juu ndoa mwaka wa ngapi sijui na haijajibu.
 
Unakujuwa anakokwenda kugombea Prof JAY..??
 
Watu wanaoishi kwa kujipendekeza na kurahisisha utu wao ni aibu kwa jamii...!!
 

Huu ndio ubora wa CCM
View attachment 266527 View attachment 266528 View attachment 266529

Baada ya kushiba
View attachment 266530


View attachment 266535

Na hizi ndio huduma bora za CCM



Mwisho nakuhusia tu angalia sana nembo hii hapa chini ina kinasaba na CCM usije ukaivaa

 
Siasa ni mtazamo / dhanaza wanasiasa (ama vyama vyao) na mapokeo ya wananchi katika mitazamo na falsafahizo, ambazo kimsingi ndizo zinatoa mwelekeo na njia za maisha ya watu husika. .

Kwa Tanzania siasa ni ajira za watu na ushabiki kwanza, mambo ya falsafa namwelekeo wa maisha hayana nafasi



Wasanii wanareflect au wanachukua matendo ya jamiihusika, sio kinyume. Jamii ikiamini siasa ni njia rahisi ya kujipatia mapesa na230 million za chap chap na wao watafanya hivyo hivyo, jamii ikimfagilia msanii wa marekani anayeonyesha boxer yake kuliko watanzania wanaofunika basi na msanii mtz atapanda jukwaani boxer nje….msanii kioo cha jamii ina maana msanii nireflection /taswira ya kinachoendelea kwenye jamii

2010 Wasanii wote waliibeba Chadema??? Chama tawala kinatakiwakuwa na shukrani na ku tambua mchango wa wasanii wengi waliowapa sapoti 2010


Kijana yeyote anaye tupa kule upinzani hana uzalendo, hakuna chama chasiasa kitachoweza kubadilisha maisha ya mtanzania, maisha ya mtanzania yatabadilishwa na mtanzania mwenyewe, mwananchi anachohitaji ni support ya mwanasiasa kwa kumthamini na kuyapa kipaumbele mahitaji yake. Lakini kwa kuwa siasa ni ajira mwanasiasa wa Tanzania aliye madarakani hathamini watanzania, siku zote anaweka mbele matakwa ya waliomuweka madarakani (waliompa pesa za kurubuni wananchi kwenye uchaguzi, viongozi wa chama chake wenye nguvu ya kumvua madaraka nk ). Kuwepo na upinzani wenye nguvu kunamsaidia mwananchi kuwa bosi wa mwanasiasa, siku kukiwa na vyama viwili vinavyopokezana madaraka ndio utaona mwenendo na fikraza wanasiasa (tawala na wapinzani) zikibadilika na thamani ya mwananchi itaongezeka, ila kwa sasa siasa ni njia ya kujipatia fedha na ajira ndio maana wakati wa uchaguzi ni wakati wa vijana hasa wajanja wajanja kukimbilia kwenye mapesa
 
Dah! Mdogo wangu Juliana Shonza mapenzi yako na siasa naona unayapeleka ndivyo sivyo. Hivi hujui naweza kuwa na mapenzi na mtu fulani lakini nisifuate itikadi zake kisiasa? Mfano Eric Shigongo ni mwanaccm lakini ni rafiki yake Sugu kuliko kawaida. Halima Mdee na Ester Bulaya ni marafiki sana lakini itikadi zao kisiasa ni tofauti. Sasa kama vijana wanapenda hao wasanii haimaanishi wanapenda kila kitu wasanii hao wanchokishabikia. Halafu si kweli hao uliowataja kwamba wanapendwa sana au wanafanya vizuri sana kwenye sanaa kuliko wengine. Kwa watu wanaojua vizuri sanaa tunaona ni watu wa kawaida tu. Na ukumbuke wengine wana makashfa kibao lakini hilo tuliache.Unachotakiwa kujua mdogo wangu siasa ni perception kama ulivyosema lakini si kwamba kila unayemtizama vizuri basi hata ukiona anatembea uchi wewe utamshangilia kwa sababu unampenda. That is myopic thinking
 
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…