Siasa hakuna mpaka 2020 lakini haya ni mapokezi ya Kikwete Chalinze leo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Tunapoambiwa siasa sasa basi lakini kwa CCM ni sahihi inazidi kuleta ukakasi haya ni mapekezi ya Mwenyekiti mstafu wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete leo Chalinze.

Lakini kuna Habari mbunge Cecilia Pareso, Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karatu wanatakiwa kufika kituoni polisi kutoa maelezo kwanini walifanya mikutano ya siasa kweli inazidi kuwa na ukakasi. Swali hizi figisu figisu na double standard.
KIKWETE.jpg


IMG-20160725-WA0052.jpg
 
Back
Top Bottom