Siasa chafu Musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa chafu Musoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chacha wa Mwita, Sep 22, 2010.

 1. Chacha wa Mwita

  Chacha wa Mwita Senior Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna habari kuwa Mtu anaitwa Nyaruba katumwa toka jijini DAR kuja Musoma kwa ajili ya kumdhuru mgombea wa chadema vicent nyerere ili ccm ipate unafuu...., habari zaidi soma hapa MWANA WA AFRIKA
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :mad2:
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Uzuri keshashtukiwa!! Kwa kabali waliyokabwa mwaka huu, umafia wa kila namna utatumika kuwapatia ahueni!!
   
 4. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kuna habari kuwa,,,,kuna tetesi kuwa,,,, inasemekana kuwa,,,,,,labda,,,,huenda ikawa,,,,,,(hizi ndizo kauli zenu za kila siku)

  huo ni aina fulani ya udaku na maneno ya mitaani!!!!
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Eti "kuna habari" chai yako haiuziki kwani haina sukari.
   
Loading...