Siasa bwana! That's why I hate politik

Huo ni unafiki tu na kupumbaza watu ili waendelee kula mema ya nchi hao ni ma pretender
 
Jana tu kwenye taarifa ya habari nimewaona Hao wakina kinana na Nape wanaendesha baiskeli huko Tanga

Gutter Politics at work..

Kuna watu ni maskini sana all they have is money! Poor Nape poor kinana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…