kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,481
Ukubwa wa
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Ujinga mtupu. Yanakokotwa tu. Si bure yule mhenga alisema wanatumia ..... kufikiri!!!! Thinking capacity 0
tuwekee aiseeMshana hebu tuwekee kumbukizi ya yule aliyemsafishia rizmoko viatu pale Rosegarden
kweli aiseeSio siasa sema maisha bwana! Kila mmoja kwenye Maisha anambinu zake za kuishi. Unaweza ukasema wanajikomba potelea pote mradi mkono uende kinywani