Siasa bwana, hakika ni mchezo mchafu

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,777
2,000
nenda shule uachane na huo ushabiki wa kubeba mabango barabarani huku ukisubiri 5000 ya kifuta jasho......wasomi hubeba vipepereshi au bendera ndogo kwenye mikutano ya kisiasa.
 

Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
38,854
2,000
Na kweli siasa ni mchezo mchafu.

Sababu ukiwauliza leo hii hao waliokuwa na hilo bango ni dhahiri utaambulia kejeli na dharau kuhusu hizo hizo nywele zake na hata hiyo roho yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom