Siasa bhana

Siasa bhana

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Hahaa.... Dongo la Gerald Komba dhidi ya Wema.... Nafikiri jamaa yuko sahihi, tunaipoteza Tanzania
 

Attachments

  • 1434885704383.jpg
    1434885704383.jpg
    52.3 KB · Views: 936
Hahaa.... Dongo la Gerald Komba dhidi ya Wema.... Nafikiri jamaa yuko sahihi, tunaipoteza Tanzania
Anajua atawapa ngono tu na watampitisha, huyo dada anapotaka jambo lake liwe yuko tayari hata kuuza utu wake
 
Huyo Jamaa Nae anataka kurithi kwa babake....????
 
Anajua atawapa ngono tu na watampitisha, huyo dada anapotaka jambo lake liwe yuko tayari hata kuuza utu wake

Ila huyu binti hana kabisa radhi za wazazi wake....
 
Eti Mheshimiwa mbunge
 

Attachments

  • 1434895686463.jpg
    1434895686463.jpg
    11.9 KB · Views: 523
Unajua wakishasogeza kikombe karibu watakunywa chai kwa urahisi
 
wewe mburula hiyo ni kazi ya adobe photo editor acheni kuwachafua watu kiasi hicho hata kama tabia zao hazieleweki

Una matatizo si bure... Nikitukanana na wewe Naweza kuonekana taahira kama wewe..
 
wewe mburula hiyo ni kazi ya adobe photo editor acheni kuwachafua watu kiasi hicho hata kama tabia zao hazieleweki
We ndo mburula unapinga bila ya kuweka picha ya kwako itakayotuonyesha kuwa akiwa ktk hali hiyo umbo lake linafananaje
 
Mpeni ubunge mrembo huyo! Mbona hata waliopo huko mjengoni nao wanatusuliwa tu kama kawa?
 
Naalivyo mropokwaj spat picha hapo mjengoni..
 
Back
Top Bottom