Leo tunataka tutumie FURAHA ya wastafu wa CCM kutambua Ustawi wa Taifa uko salama, na hudhuni yao ni Taifa liko hatarini.Wazee wengi sana wa Chama walihudhuria mkutano wakiwa na furaha ikieleza jambo.
Tusemezane
Kuna kueleza jambo kama unavyoliona halafu kuna kueleza jambo kwa maana iliyokusudiwaLeo tunataka tutumie FURAHA ya wastafu wa CCM kutambua Ustawi wa Taifa uko salama, na hudhuni yao ni Taifa liko hatarini.
Ni mpaka siku tutapotambua Gharama Sahihi za Matamanio Yetu, na kuwa tayari kuzilipa.
Wengine tutasubiri bado nafasi nyingine, Nanyi mjipongeze kwa Taifa kurudi kwenye mikono salama. Hongereni sana.
Mpaka unauliza wanajamvi kama kuna yeyote mwenye shaka juu ya Tuhuma za Udini, Ukanda na Ukabila, bado tu unataka kujitoa miongoni mwa wale wenye FURAHA sawa na wazee wa CCM?Kuna kueleza jambo kama unavyoliona halafu kuna kueleza jambo kwa maana iliyokusudiwa
Nimeeleza kama nilivyoona, kwamba, Wastaafu na Wazee wa CCM walikuwa na furaha
Sijaeleza furaha yao ni ya nini lakini kwa aliyeangalia mkutano ule walikuwa na furaha
Hata hivyo una haki ya maoni,hakuna maoni sahihi au potofu na siwezi kujibu maoni yako
Ninachoweza kufanya ni kueleza kilichoandikwa
Kuna hoja mbili, usichanganye. Moja, kuhusu Wazee niliwaona wanafuraha!Mpaka unauliza wanajamvi kama kuna yeyote mwenye shaka juu ya Tuhuma za Udini, Ukanda na Ukabila, bado tu unataka kujitoa miongoni mwa wale wenye FURAHA sawa na wazee wa CCM?
Hili nalo kama unataka mjadala tafadhali jenga hoja nami nitatetea zanguMbali zaidi ukahitimisha kwa kusema Hakuna Shaka kuwa awamu ya tano ilipanda mbegu mbaya nchini. Bado unadai hu miongoni mwao wakenuao meno wakati huu?
Jamii ni neno pana, hao Wapinzani na CCM ni jamii pia , jamii unayozungumzia ni ipi?Tunajua in Upinzani+CCM Vs Magufuli. Jamii haikuwahi kuwa kinyume na Magufuli, ila ni huo muungano wa TimuMaslahi.
Maoni yako tunayaheshimuJIPONGEZENI, KWA MAANA MMESHINDA. Nasi tutaendelea kuomboleza na labda sauti yetu Itasikika Tena. Tumaini lipo.
Hoja ni Moja tu Mkuu, kwamba Taifa limerejea kuwa na FURAHA baada ya kipindi kibaya cha Magufuli; Ufisadi, Wizi, Udini, Udini, Uminywaji wa Demokrasia, Inhumanity, Uhuru,nk...Kuna hoja mbili, usichanganye. Moja, kuhusu Wazee niliwaona wanafuraha!
Pili, kuhusu tuhuma za udini, ukanda na ukabila nilisema na majuzi makundi mbali mbali ya viongozi akiwemo Mh Rais walikemea hali hiyo miaka ya karibuni.
Sasa kama unataka tuwe na mjadala wa hili nipo tayari kutetea hoja yangu
Hili nalo kama unataka mjadala tafadhali jenga hoja nami nitatetea zangu
Jamii ni neno pana, hao Wapinzani na CCM ni jamii pia , jamii unayozungumzia ni ipi?
Maoni yako tunayaheshimu
Ni hoja yako unayojadili si yanguHoja ni Moja tu Mkuu,
Hakuna mahali nimeandika maneno hayo na kama ipo lete nukuu.kwamba Taifa limerejea kuwa na FURAHA baada ya kipindi kibaya cha Magufuli; Ufisadi, Wizi, Udini, Udini, Uminywaji wa Demokrasia, Inhumanity, Uhuru,nk...Hiyo ndiyo Hoja yako Kuu.
Hakuna mahali nimeandika hayo maneno. Kama ni maana yako sema ni maoni yakoNi kutuambia kuwa sasa Taifa lipo kwenye Mikono Salama, na Tujivunie hasa kwa hilo.
Sijataja jamii kwasababu naiangalia jamii kwa ukubwa wake.Umeitaja jamii yako, kuwa ni Wasomi, wanaCCM, wapinzani, viongozi wa dini, nk.. Kama ni hayo basi uko Sahihi kwa upande wako.
OK kama una jamii hewala. Makundi mchwa ni yapi? again maoni na tafsiri yako maana yanguIla, Jamii nayoisemea mimi ni ile inayohudumiwa na hayo makundi ya mchwa uliyoyataja.
Hata sijui una maana gani, punguza ghadhabu ili tukuelewe.WATEJA wa hayo makundi yako.
Hiyo ni hiari ya kila mtu kumtazama JPM kwa jicho lake, hata hivyo mtazamo wako si lazima uwe sahihi na wala wa mwingine si lazima uwe sahihi kwako.Kundi hili hatuna Kinyongo na Magufuli, na Tutamkumbuka sana na Hatutaacha Kuomboleza.
Haya ni maoini yako mazuri tu tunayaheshimu hatuhitaji kuyajadiliHaijalishi ninyi wasomi, wanaCCM, wapinzani, na wanadini mtasemaje.
1. Sijui ni nini kinakufanya uone kwamba nimeghadhibika katika hoja! Isije ikawa unasemea nafsi yako ilivyo huko. Ni mtazamo wako, na uheshimiwe pia.Awali ya yote napenda nikuase yafuatayo
1. Ukiingia katika mjadala kwa ghadhabu utapoteza ulichokusudia kusema ghadhabu zitatawala fikra
2. Kuna maoni (opinion) na facts (ukweli) ambavyo ni vitu tofauti.
Maoni yako tunayaheshimu lakini siyo facts.
Na facts zinabaki kuwa hivyo iwe iwavyo haiangalii mtu anapenda nini
Usichukue maoni yako ukayafanya maoni yangu kwasababu unadhani ni hivyo.
Tafsri ipo kwa msomaji na usijaribu ku-construe maana iliyokusudiwa ku fit narrative yako.
Ni hoja yako unayojadili si yangu
Hakuna mahali nimeandika maneno hayo na kama ipo lete nukuu.
Kama huna nukuu acha kuzua mambo kwa vile tu unataka. Narudia hakuna mahali nimeandika hayo maneno
Hakuna mahali nimeandika hayo maneno. Kama ni maana yako sema ni maoni yako
Sijasema hata neno moja, lete nukuu kama ipo. Maana yako ni tafsiri yako
Sijataja jamii kwasababu naiangalia jamii kwa ukubwa wake.
Wezi, wafungwa, wachawi , wasomi, wakulima, wafanyakazi, wazururaji, n.k. ni sehemu ya jamii. Hatuwezi kuwa na jamii ya makundi!uliyoandika ni maneno kwa maana yako si yangu
OK kama una jamii hewala. Makundi mchwa ni yapi? again maoni na tafsiri yako maana yangu
Hata sijui una maana gani, punguza ghadhabu ili tukuelewe.
Hiyo ni hiari ya kila mtu kumtazama JPM kwa jicho lake, hata hivyo mtazamo wako si lazima uwe sahihi na wala wa mwingine si lazima uwe sahihi kwako.
Kilicho muhimu ni kuheshimu mitazamo mingine hata kama inakwaza
Haya ni maoini yako mazuri tu tunayaheshimu hatuhitaji kuyajadili
Ungechukua nukuu nzima ! unapotosha. Nilichosema ni kuhusu udini, ukanda na ukabila nikimnukuu Abubakar Lyongo na Rais SSH ambaye ni msaidizi wa JPM.
3. Umetoa wito wa Kumuunga Mkono Mama Samia baada ya tuhuma dhidi ya Awamu iliyopita. Sasa nikuulize, Kama Taifa haliko katika Mikono Salama unataka Tuunge Mkono nini? Kama hukumaanisha hivyo basi utusaidie kujua.
Sina tatizo na mtazamo wako, naheshimu maoni yako5. Makundi Mchwa ni mtazamo wangu juu ya makundi uliyoyataja wewe kuwa wameoneshwa kutoridhishwa na awamu ya tank ;Wapinzani+CCM, Viongozi wa Dini na Wasomi. Hakika ni Mtazamo wangu, kama nawe ulivyo nao kwao.
Ni mtazamo wako, sina tatizo na tafsiri yako6. Je, ni kweli hujui Mteja wa Mwanasiasa ni nani, Mteja wa Kiongozi wa Dini ni nani, Mteja wa Msomi ni Nani, Mteja Viongozi wa Umma ni nani? Punguza jazba kuelewa vizuri.
Basi panapokukera onyesha tujadili. Nime ku challenge kuwa tujadili unacholalamikia, umekimbi8. Yap, kila mtu ana Uhuru wake juu ya kumtazama JPM. Na hicho ndicho kinachofanyika. Sifikiri kama nimetoka nje ya hilo. Nisahihishwe.
Kwanza pole sana , pili maoni yako hayajadiliwi ni yakoSISI TUTAOMBOLEZA MPAKA PALE SAUTI YETU ITAKAPOSIKIKA TENA. NANYI HONGERENI SANA.
Kwenye Ujumbe wako wa April-2022, Mimi nimeona Tuhuma dhidi ya Utawala wa Magufuli, na Matumaini mapya juu ya Utawala Samia.Ungechukua nukuu nzima ! unapotosha. Nilichosema ni kuhusu udini, ukanda na ukabila nikimnukuu Abubakar Lyongo na Rais SSH ambaye ni msaidizi wa JPM
Kwa kukemea ukabila , ukanda na udini tunapaswa kumuunga mkono!
Kwa mtazamo wako ambao si lazima uwe na makosa au uwe sahihiTuhuma hizo ni juu ya Udini, Ukabila, Ukanda, Ubadhirifu, Ukiukwaji wa Haki, Uminywaji wa Uhuru, nk...
YES, kuunga mkono jitihada za kupinga ukabila, ukanda na udini aliousema Rais SSHNimeona Tumaini pia kwa Kutoa kwako Wito wa kuunga mkono awamu hii Leo.
Kwa mtazamo na tafsiri yako , tunakubali maoni yako. Ni maoni yakoNamna ya rejea yako ya report ya CAG kushibisha Tuhuma zako.
Haikuwaepo shaka Wazee walikuwa na furaha, sasa kama hukuona wanafuraha hilo nalo ni mtazamo wako. Unaweza kueleza ikiwa walikuwa na huzuni ili nasi tufaidike na mtizamo wakoFURAHA za wastaafu na wanaCCM katika awamu hii ikiashiria Tumaini jipya.
Sijui una maana gani! sorryJuu ya Tuhuma zako nimesema "Ni mpaka pale tutakapotambua Gharama halisi za Matamanio Yetu"
Mlilo nalo akina nani hao! again kwanini tujibu maoni yakoNa juu ya Tumaini mlilo nalo nimesema "Hongereni Sana, ila Sisi bado Tutaomboleza"
Simama kwa yote unayodhani ni sahihi kwa mtazamo wako ni haki yako!Bado nasimama katika hayo kwa sasa.
Kutokujua kwako, ndipo Tatizo linapoanzia, na mpo wengi sana. Kaeni Chini mfanye Tafakari vizuri, labda IPO siku tutaimba wimbo mmoja.Sijui una maana gani! sorry
Kauli yako nisiyoielewa hapo awali ni hii ''Juu ya Tuhuma zako nimesema "Ni mpaka pale tutakapotambua Gharama halisi za Matamanio Yetu''Kutokujua kwako, ndipo Tatizo linapoanzia, na mpo wengi sana. Kaeni Chini mfanye Tafakari vizuri, labda IPO siku tutaimba wimbo mmoja.
Rais SSH ametoa kauli kuhusu udini, ukanda na ukabila akishadidia kauli ya Abubakar Lyongo"MLILO NALO.... " Wewe si mtu wa kwanza kumsikia juu ya tuhuma hizi, hivyo tambua mko wengi sana. Wengine umewataja mwenyewe(Wastaafu, Wapinzani, wanaCCM, wasomi, nk)
Najua pia upande Wetu tu wachache mno.
Kudadavua Tuhuma zako ni wajibu wako, Fanya vile inavyokufaa. Mimi nilikuja kutoa pongezi tu kwenu na kusemea maombolezo Yetu pia.Kauli yako nisiyoielewa hapo awali ni hii ''Juu ya Tuhuma zako nimesema "Ni mpaka pale tutakapotambua Gharama halisi za Matamanio Yetu''
Nauliza ndio kitu gani unazungumzia hapa?
Rais SSH ametoa kauli kuhusu udini, ukanda na ukabila akishadidia kauli ya Abubakar Lyongo
Kumbuka Samia ni Rais wa JMT na VP wa JPM ambaye ni msaidizi mkuu.
Pili hatuwezi kuwa na mjadala usio na ''substance' nimesema hivi changua tuhuma moja baada ya nyingine tuidadavue, hutaki! unaujua ukweli na wewe ni wale wa ''marehemu' hasemwi!
Chagua tuhuma moja tu tuijadili tafadhali
Mh. Ndungai aliongea akiwa spika. Baada ya kuongea akajiudhulu uspika hii ni baada ya kusikia hotuba ya Mkuu wa nchi fulani.Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge'
Makamba aliongeza kusema kwamba sasa wanalamba asali. Wakati anajua watanzania wengi sana maisha yamekuwa magumu. Yawezekana, ndiyo maana, labda siku hizi Chama kinafanya mikutano ya ndani akifanyi mikutano ya hadhara. Nawaza tu!Kubwa ni kwa katibu mkuu wa zamani Yusuf Makamba kutema nyongo akisema ''.... wasamehe wewe ndio bosi wao sasa''
Makamba anamwambia Kinana awasamehe 'Timu JPM' iliyoongoza kwa mkono wa chuma
Na aliongeza kusema watoto wengi wa viongonzi furusa zinawashukia Kwa sababu ya wazazi wao! Yawezekana hawana uwezo lakini wazazi wakawa kigezo kwa furusa hizo! Labda nilimsikiliza vibaya...nitarejea hotuba yakeMtoto wa Mwalimu Nyerere Bwa Makongoro (RC Manyara) alieleza kwamba Nyerere alipendwa kwasababu ya ''Ubinadamu'' .
Ndiyo mmefikia hatuna ya kuwaambia watanzania wenzenu kuwa kama walimpenda sana Hayati Magufuli waende Chato wakazikwe Naye? Kumbe Zitto anaweza kuwa amefuata ushauri wako. Na bado unasema kwa sasa mnaondoa mifarakano ndani ya Jamii. Nakushauri, msikilize sana ushauri wa Mh Lusinde alioutoa juzi Kati huko Bungeni DodomaRais SSH aungwe mkono, tuondoe na kuwazomea waliotaka kutupoteza
Tunasubiri Report ya 2022- 2023 Kuona namna Rubi yetu ya thamani ya mamilioni ilivyoweza kufika soko la Dubai kwa kufuata taratibu zote za kifedha na taifa kupata inachostaili.Ujumbe unaopatikana ni kuwa miaka iliyopita baada ya CAG kuondolewa uhaguzi ulifanywa kwa kutazama 'mkubwa' alitaka kuona nini , kipi kismwe na kipi kiwekwe chini ya Zulia