balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,474
- 12,609
Wote ni mashabiki wa chama cha makinikia yaani entabani au mapanki.Mbona wengine hata 3 kuziangalia hazifiki.. kwa kumuenzi Kanumba tulilazimika kuangalia.. zaidi ya hapo eeeeh ni vitukooooo hata hao washiriki wa kutengeneza sijui walisoma wapi ha ha haaa. Ubunifu anyau kabisaaaa...