Siangalii tena....#movie za kibongo*

Mbona wengine hata 3 kuziangalia hazifiki.. kwa kumuenzi Kanumba tulilazimika kuangalia.. zaidi ya hapo eeeeh ni vitukooooo hata hao washiriki wa kutengeneza sijui walisoma wapi ha ha haaa. Ubunifu anyau kabisaaaa...
Wote ni mashabiki wa chama cha makinikia yaani entabani au mapanki.
 
Kwa kweli hizi movie za kibongo...zinaboa jamani kha!

Eti jambazi kapigwa #mawe* kama mwizi alafu hata hatujaonyeshwa [HASHTAG]#majeraha[/HASHTAG]...

Eti bonge la [HASHTAG]#superstar[/HASHTAG]...lkn anamiliki nyumba ya mil 3.5.

Nimeivunjilia mbali Cd yenyewe..
Nimeona bola nitazame......
"Escape from Sobibo"
Angalau hawa [HASHTAG]#uwongo[/HASHTAG] wao una tija kidogo Ebo!
huwa wanaonesha mapaja tu muda mwingi.
wabunifu wameisha!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom