Siangalii mwanamke mara mbili.


huangalii mara mbili sio kwa sababu hzo ulizotoa ila ni sababu una highly cramming capacity..so mara moja kwako ushapata image yote
 
Macho ni ufunguo wa moyo, ukiyadhibiti umefaulu.
Asante kwa ukumbusho JEKI
 
Last edited by a moderator:
Safi sana sipendi mwanaume kuangalia sana wanawakee
 

mkuu hapo tunaita "umechapia"
Hakuna mtu ana uwezo wa kufanya uyasemayo! Unless labda sio mwanamme kamili.
Mwanamke akae uchi mbele yako na wewe usipate hisia zozote?
Hapo mkuu mi nakishauri ukamuone daktari. Manake ukichelewa sana ile maneno inaweza kusala kabisa!
 
Mi naendaga bichi naangalia wala hakuna matatizo yoyote ninayoyapata!!

Kutamani mwanamke sio TATIZO!
Bali ni hisia za kawaida kabisa kwa kila mwanamme aliye kamilika.
Wewe kama ni muumini basi fuata ushauri wa muanzisha uzi.
Lkn kuleta stori za wewe kutazama zile nyama kubwa na usiwe na tabu nazo siku mizimu ikichangamka una hatari ya kubaka kabisa.!😀😀😀
 
mwenzio siwezi kuangalia youtube, kisimu changu hakina uwezo.

nlitaka usikie haya maneno kwenye red...
If I Were A Boy"

[Verse]
If I were a boy
Even just for a day

I’d roll outta bed in the morning
And throw on what I wanted and go
Drink beer with the guys
And chase after girls
I’d kick it with who I wanted
And I’d never get confronted for it.
'Cause they’d stick up for me.

[Chorus]
If I were a boy
I think I could understand

How it feels to love a girl.........
 
Heri anayeangalia kisha akajizuia kuliko asiyeangalia, maana siku akiangalia tu kuanguka ktk vishawishi ni rahisi
 

Unawezaje kujua kuwa mtu fulani hawezi kufanya jambo fulani kwa hakika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…