Siamini nimejikuta nimekua billionea ghafla

Siamini nimejikuta nimekua billionea ghafla

mbumba

Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
49
Reaction score
8
Yani nimeota usingizini kua nimekua bilionea ghafla nilitamani ndoto isiishe
 
Lala tena uimamalizie ndoto yako mkuu
 
hongera bilionea rud ndoton ukanichukulie pesa kidogo.
 
Madhara ya kushindilia ugali wa samaki na maharagwe usiku. Umevimbiwa wewe, usilale manake utaota uko toilet 🚽
 
Huo umaskini utakaokupata sasa matonya cha mtoto..
 
Huo umaskini utakaokupata sasa matonya cha mtoto..

Inaweza ikawa na maana hiyo au vinginevyo. muota ndoto hakueleza Je alipewa na mtu au ameokota au amejikuta amekuwa tajiri... angefafanua tungeweza kumpa maana halisi
 
Back
Top Bottom