Siamini Kwamba Rais wangu can be this cheap | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siamini Kwamba Rais wangu can be this cheap

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjenda Chilo, Jun 25, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kwenye baadhi ya vyombo vya habari eti Wema Sepetu (mama maskendo) ana mgeni wake mcheza sinema wa Nigeria eti amepata apoitment ya kwenda Ikulu na huyo mgeni wake wadiscus maendeleo ya filamu nchini. Siamini, Hivi kweli Rais atadiscus nini? basata, wizara husika wako wapi? muacheni rais ashughulikie mambo makuu. Huyu role model wa waasherati ndo aende pale mahali patakatifu? ni wachumi na watu wangapi wenye michango hawapati nafasi hiyo? siamini kama mwenyeji wao atakuwa presda. siamini na nabisha hizo radio zimedanganya.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Politics is all about popularity Mjenda Chilo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  You better believe! Huyu jamaa alitakiwa atafutiwe kazi Hollywood, si magogoni.
   
 4. Ras Cutty

  Ras Cutty Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Humjui JK kwa cheap popularity. hapo yeye anaangalia kupiga picha tu. UDHAIFU HUO.
   
 5. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  I think JK is the unhappiest man in TZ
   
 6. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kweli au mnaongea tu? Siwezi kuamini kuwa Rais hana kazi za kufanya na kuamua kukutana na Wema na Omotola, tuache kuanzisha vitu ambavyo vitafanya wananchi watushangae

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 7. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  what a chance to be with wemasepetu eeh!
   
 8. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ikulu mahali patakatifu, na hayo mapepo yaliyojaa huko je?!
   
 9. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Atawatafuna!!
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,686
  Likes Received: 21,951
  Trophy Points: 280
  Kama nikweli basi naunga mkono kauli ya Mnyika 200% maana awali niliunga mkono 100%
   
 11. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  What a historical accident to have such weak president as John Mnyika rightly put it! Kikwete na washauri wake wanakwepa mambo mazito na kuyafanya mepesi mazito na mazito mepesi ukiachia mbali ya hovyo kuwa muhimu na muhimu kuwa hovyo. Tunahitaji rais ikulu na si mpenda sifa na mambo ya udoho udoho kama huyu.Baada ya hapo kama Vicky Kamata utasikia Wema ni mbunge!
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  dhaifu kaona chance ya kukutana na wema hiyo hapo usikute akawe 2nd lady wetu maana jamaa na yeye mh!
   
 13. w

  wakuziba Senior Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa nini tunakosa uadilifu jamani! mbona mbowe anachezesha disco bilicanas!? mnajua ufuska uliopo bilkanas!? mbona hilo hamsemi! mbunge wangu wa kawe (mimi nipo mikocheni) halima mdee mbona ni mume wa esther bulaya mwanamke mwenzake! sugu mbona amempora jafaria mkewe shyrose banji (wameishi miaka 8 thts y namuita mke) na kupewa jukwaa bilicanas kumtukana jafarai matusi ya nguoni hali ya kuwa ni mbunge wa watu wenye heshima zao wa mbey mjini! slaa mbona alimuiba mke wa mtu na amemzalisha mtoto. yuko na huyo kimada hadi leo!


  tunaelekea kwenye siasa za kijinga sasa. Omotola ni msani mkubwa africa ktk tasnia ya filamu. wema ametumia mgongo wa omotola kwenda ikulu. pana ubaya gani! rais lazima awavute vijana na wasanii. jueni kuwa wema ana nguvu sana kwa vijana masharobaro na masista duu. wakimuona model wao wema ikulu wataipenda ccm. jk anatumia siasa  tuna tatizo la ajira nchini. omotola kualikwa ikulu kutamfruhisha sana. akiombwa siku zijazo kushirikiana na mtz ktk filamu atakubali ili kulipa fadhila. tuache kumddhalilisha rais wetu. tuwe waungwana. kama kuna uongo kuhusu niliyoyaandika kuhusu mbowe, mdee, sugu na slaa, naomba nikosolewe.
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Chadema hao wametumia watu wao waliopo Ikulu kumruhusu Wema Sepetu kukutana na rais wetu, kisha wapate mahali pakumtukania kwa kumita, "Rais Kikwete ni dhaifu." Nape NNauye.
   
 15. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,082
  Trophy Points: 280

  Nyerere aliwaambia pale mahali ni mzigo! watu makini wanapaogopa! Yeye dhaifu akapakimbilia, mwache afe kwa presha!
   
 16. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hayo ndo nayafit kwa Rais wetu. Ukitaka kujua Rais wetu anapenda sana mambo kama hayo sikiliza anapoongea na Wazee wa Dar usikilize jinsi anavyopigiwa vigelegele na wa mama na yeye anaongea kama yuko kwenye sherehe za mdundiko anasahau kuwa anahutubia taifa
   
 17. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Anataka kusalimiana na omotola (mama wa wototo wanne na ameolewa na mwanajeshi) anadhani yule muigizaji kutoka nigeria ni dhaifu wa......... Kama wakina wema sepetu?
   
 18. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee anataka kupumzika kwa Wema !!! aisee
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kama ni kweli basi hatuna Rais!
   
 20. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kwani Rais haruhusiwi kukutana na ww, hat jioni amalizapo kz?
  Kuna Marais walifanya Mbinguni, wakaja wengine wakapafanya kijiwe cha wafanyabiashara wa bara Asia, ikaja wafanyabiashara wa madini na zawadi zau za mabonge ya dhahabu.
  Leo unataka Ikulu Wapinzani wasiende kunywa juice
   
Loading...