Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,471
- 526
Kwenye baadhi ya vyombo vya habari eti Wema Sepetu (mama maskendo) ana mgeni wake mcheza sinema wa Nigeria eti amepata apoitment ya kwenda Ikulu na huyo mgeni wake wadiscus maendeleo ya filamu nchini. Siamini, Hivi kweli Rais atadiscus nini? basata, wizara husika wako wapi? muacheni rais ashughulikie mambo makuu. Huyu role model wa waasherati ndo aende pale mahali patakatifu? ni wachumi na watu wangapi wenye michango hawapati nafasi hiyo? siamini kama mwenyeji wao atakuwa presda. siamini na nabisha hizo radio zimedanganya.