Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nimesoma kwenye vyombo vya Habari kwamba Mfanyabiashara R.Mengi ana utajiri wa zaidi ya Dola za kimarekani milioni 500, hii inaniwia vigumu kidogo kuamini, huwo utajiri wote kwa lipi hasa?
Kwa maana mbali na Maji ya KLM ana TV, Magezeti na Radio na vyote hivi hakuna anachoexport hata kimoja sasa hizo milioni 500 (US) amezipata wapi?
TanZania hakuna middle class yenye uwezo wa kusuport hayo mapato isitoshe bidhaa kubwa ya Mengi anayouza sana ni Maji ya KLM na ambayo wateja wake wakubwa ni Serikali na Watalii sasa hiyo haiwezi kumpa utajiri wa dola milioni 500 labda kama kuna kingine ambacho hakiko wazi!
Kwa mfano Bakhresa siwezi kumbishia kwa maana anaexoprt sana na ukienda nchi zote za jirani utakuta Azam products mpaka Zimbabwe na Msumbiji hivyo akisema ana zaidi ya Dola milioni 500 naelewa ila mwingine ambaye sielewi ni Rostan Aziz kwamba ana 1 bilion US Dollars kwa lipi hasa?
Ni nini anauza Rostam Aziz kuweza kupata 1 billion US Dollars au ndiyo fedha zetu yeye na fisadi Lowasa walihamisha hazina na kujiwekea kwenye akaunti zao?