Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Wakuu Nilitoka kidogo kwa muda kama wa miezi sita hvi sasa leo nimerejea hapo Nyumbani kusabahi ndugu jamaa na rafki na kujumuika nao holiday hii wakati naondoka halotel ilikuwa ni H+ plus muda wote, na speed ya kueleweka sasa tangu jana naona ni 3G na H tu isio na speed yani very slow mpaka najiuliza kunani hawa wavetinam au ulikuwa moto wa mabua tu?