Siamini kama Natumia Halotel

Siamini kama Natumia Halotel

Halotel kifurushi chao cha usiku kipo slooooooooooooooooooooooowwwwww sana,ila mida ya alfajiri kina spidi nzuri tu. Naomba wadau mnijuze kuhusu Yatosha Nights ikoje???? Download speed yake ni kb/s ngapi????
 
Bado masaa machache niwakimbie maana huku kwangu hata kufungua browser page ni shida
 
Wahandisi wao wanalipa mishahara kama wamewasomesha wao kwanin network yao isiwe mbovu?
 
Jana nimeweka bando la 500.mb 250.nikatumia nikazima data.asubuhi SAA 12 kasoro nafungua data naangalia Salio ni mb 108,nikatumia kidogo wakalamba mb zote.
 
Mimi nasubiri kifurushi chao cha mwezi kiishe nirudi zangu voda. Hopeless sana nyie watu halotel, hakuna tofauti ya network ya mjini na ya kijijini.
kuna wakati hata kutuma picha whatsapp zinagoma. nimewavumilia sana hamvumiliki!
 
Nafikiri ni maeneo na maeneo! Mi' nipo Shinyanga, muda wote ipo vizuri!
 
zamani hallotel tulivyokuwa wachacge spidi ilokuwa ni kimbunga, saizi imekuwa kama gombania goli maana tumejaa sana nimerudi vodacom ingawa airtel ndo wanaeleweka
 
Laini yako inakutu embu ichunguze vizuri hapa nilipo inasoma H+++
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom