Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Inasikitisha sana kuona nafasi ya Upinzani Bungeni na Mtaani ikichukuliwa na Chama kichanga cha ACT. Angalau Zitto anaweza kujenga hoja zenye maslahi kwa Umma kuliko ubishi wa CHADEMA hivi sasa.
1. Walisema Mh Jakaya Kikwete ni Dhaifu kiutawala, sasa wanasema JPM Dikteta!! Asiwashughulikie Mafisadi ambayo ndiyo ilikuwa Ajenda ya CHADEMA hai nyakati zile!! Siamini!
2. Walipigania uwajibikaji Serikalini nyakati zile lakini sasa wanasema Wazembe watangulie Mahakamani kuipinga Serikali kwa kuishtaki!! Siamini!
3.Hoja iliyobaki sasa ni kupigania Bunge kuoneshwa live! Basi! Hakuna hoja nyingine zenye maslahi ya wengi kama kuibana Serikali iboreshe huduma kwa Wananchi na kadhalika?? Ni kweli mmefilisika kiasi hicho? INASIKITISHA SANA. Kubalini mlifanya makosa kuitupa dhahabu wakati ilipohitajika sana kwa tama za wachache. Mpigieni magoti Dr. Slaa na kuwarudisha mliowafukuza kwa uonevu kama Zitto Kabwe et al.
Enyi Chadema.... Ni nani aliyewaroga?