Si wangevaa vimini tuuu

Hapo ndo utajua mungu ana ushirika na mtu anafanya atakavyo hyo kazi ya mikono yake.
 
Hiyo ni fashion na sio stara. Hapo haina haja ya kimini. Stara inaangazia matendo ya kiroho fashion inaangazia matendo ya kimwili. Kwa hilo vazi hawezi ingia kwenye nyumba ya ibada yote yote.
 
Ila hayo mavazi bhana yanasiri nyingi sana hanafichaga
 
Msambwanda wa kutosha

Ni manshaalah.!
 
Hapa naona mawazo ya mende chooni....oohh shiiit.
 
Kwanza huyo mwanamke kavaa vyema sana, tatizo lako unadhani kila mwenye kuwa na nyonga ya hivyo ni kahaba kama ulivyo wewe.
 
Sioni tatizo hapo. Tatizo labda ni la mtazamaji jinsi alipozielekeza
hisia zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…