Si Ushabiki Nauliza Tu

Ingekuwa inaruhusiwa kutuma ma-thanks kwenye post yako moja dah, ningezimimina sana maana umenigusa kumtima ..... yaani slogan unaisoma unajiona kama vile iko ndani ya damu yako kabisa...safi sana Mpwa, hebu nikumbushe na za akina Magamba walizowahi kutumia nakumbuka moja 'Zidumu fikra za Mwenyekiti" unayo nyingine hapo?? au Mukama bado hapatikani tumuulize??
 
Mwanajanvi nakupongeza kwanamna ulivyoanza, ingawa umeonyesha uoga wa waziwazi ktk kuuliza. Hizi kauli mbiu mara nyingi hujitokez wakati ule mambo ya uchaguzi ukikaribia. Kwasasa ziko "domant"
 


Nasikia imebadilika kidogo. Ni "Adha Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasri Zaidi" to be true.
 


Hatimaye Wa-magamba wamegundua kwamba maneno hayo kifupi chake ni ANGUKA!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…